Umenunua kigari cha milioni 15 unakata bima comprehensive. Una akili sawa sawa wewe?


[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] we jamaaa
 
Nmekata Bima ya Afya yangu tu, hayo matakataka mengine sitaki.
 
Wabongo hauwezi kutoa ushauri bila kuweka lugha za dharau unaita watu wenye pesa zao matahira watu dizaini yako bla bla nyingi pesa mifuko empty
 
Kwaio kile ki BMW X3 nlichoulizia bei pale opoziti na Mcity hakitakiwi kabisa hii bima.
 
Sexless una habari mpaka vifuniko vya asali vinakatiwa bima?
Bima si kwa ajili ya gari tuu bali pia kwako pia, wengine na mali za wengine pia
 
Analipishwa Milioni gari yake aliivalue kiasi gani? Au mnachangia tu uzi bila ya uelewa namna gani Bima inafanya kazi.
Wewe ndo mfu usoelewa, RAV4 old model ni shs 18-20m,
Unadhani insurance comprehensive ni bei gani kwa mfano
 
Wewe ndo mfu usoelewa, RAV4 old model ni shs 18-20m,
Unadhani insurance comprehensive ni bei gani kwa mfano
Gari inaweza kuwa ya Bei hiyo lkn mtu akaivalue kiasi cha chini ili alipe insurance kidogo. mimi nina Harier Old Model Nimeivalue 8 million hivyo Insurance ya Comprehensive ninayolipa kwa Mwaka haijawahi kuzidi laki Nne na kuna wkati niligongwa na nikatengenezewa gari yangu. Hata mtu akinikwangua au nikimkwangua huwa sipotezi muda barabarani zaidi ya kuwasiliana na traffic pamoja na watu wa insurance kushughulikia tatizo.
Kikubwa ninachokiona kwenye huu izi ni wafu kukimbilia kuchangia hata hawajui insurance inafanyaje kazi na wengine hata Magari hawana.
 
Hapa Tanzania kuna majitu yanapenda sana kuropoka! Sasa hili taahira linajua maana ya Bima kweli? Hivi kuna mtu anajua ajali itamkuta lini? Natamani hili bwege lililoleta hii mada likule mzinga labda litaelewa maana ya Bima!
Utoto na Ushamba unamsumbua
 
Huu uzi umejaa dharau sana. Hongera mtoa mada kwa kudharau vya wengine, lakini wengi hiyo bima imewasaidia
 
Analipishwa Milioni gari yake aliivalue kiasi gani? Au mnachangia tu uzi bila ya uelewa namna gani Bima inafanya kazi.
Kumbe nawe umegundua hilo. Nimegundua watu wanachangia tu kama vile unalipa bila kuvalue gari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…