Umeoa halafu unamzuia binti wa watu asifanye kazi na huna uwezo wowote kifedha. Unafanya hivyo kwa faida gani na ili iweje?

Tamaduni zetu,hali zetu,imani zetu,hivi ni misingi yakuzingatia,mwanamke hata umpe kila kitu lakini bado atahitaji kuwa na kitu kwa nguvu zake mwenyewe,lakini kupata ajira ni takwa la kisheria kwa kila mmoja wetu,umechukulia mfano wa hindi na waarabu,hawa watu wana utamaduni wao hasa katika kuishi kiujamaa na kutengeneza Generation wealth,sisi huku hatuna,
 
Sijui unapesa "Sisi" unamaanisha nani na nani, mi ninachofahamu ukiongelea watanzania tu hatuna imani wala tamaduni zinazofanana completely. Ukiangalia kiundani zaidi utagundua kuna jamii zinatofautiana kwa mbali sana katika haya mawili ndani ya hii hii Tanzania moja. Mfano, Maasai hafanani na Mluguru na wote wawili wanatofauti sana na watu wa pwani.

Kimsingi si sawa kusema "utamaduni wetu waTanzania" kwa kuwa hatuna tamaduni moja. Concept ya kuwa mwanamke anaridhika only akiwa na chake mwenyewe mimi kwenye jamii yangu haipo coz wanawake wengi katika jamii yangu ni mama wa nyumbani na wameridhika na hilo, role yao katika hili ni kubwa sana katika jamii.
 
Jirani mbona unaifatilia sana ndoa yangu!!!!!!
 
Kila mmoja ana uhuru wa kufanya kazi,kuwa na kipato na mali zake binafsi hata sheria ya ndoa inaeleza wazi,suala la tamaduni lililozungumziwa ni kwa namna gani tamaduni zetu huchangia hilo kwa kiasi kikubwa,hivyo misingi ya haki izingatiwe hiyo ndio mantiki,otherwise wakubwliane kiroho safi nasio kumzuia.
 
Roho mbaya tu. Wanaogopa mwanamke akowa na kipato atakuwa na nguvu ya kusimamia haki zake.
Sema atakuwa na jeuri ya kumuondoa mwanaume maisha I mwake. Nyie wanawake dawa yenu ni kuwa Taliban tuu. Tumewaendekeza mpaka Leo hii eti mwanamke amamwambia mwanaume "nipige kama wee mwanaume" shenz type ingekuwa Kandahar au Kabul ulishadesidhwa zamaniii
 
Ukorofi huoπŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…