TheForgotten Genious
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 2,087
- 3,156
- Thread starter
- #41
Tamaduni zetu,hali zetu,imani zetu,hivi ni misingi yakuzingatia,mwanamke hata umpe kila kitu lakini bado atahitaji kuwa na kitu kwa nguvu zake mwenyewe,lakini kupata ajira ni takwa la kisheria kwa kila mmoja wetu,umechukulia mfano wa hindi na waarabu,hawa watu wana utamaduni wao hasa katika kuishi kiujamaa na kutengeneza Generation wealth,sisi huku hatuna,Kuna wengine hata ukisema utawatimizia mahitaji yao ama utampa reasonable allowance on top ya kumtimizia mahitaji yake lakini bado wanaona wamenyimwa uhuru. Muhimu ni kukubaliana kwanza juu ya vipaumbele vyenu.
Dhana ya kuamini eti kufanya kazi ndo only way kuboresha maisha ya familia ni potofu sana, tunawaona wahindi na waarabu wengi tu wake zao wapo majumbani na bado wao ndo wanaomiliki mabiashara makubwa na kuwa na vipato vikubwa kuliko kina sie. Jambo la msingi ni nyinyi mtu mbili kukubaliana kwenye ujinga na werevu basi!