Umeoa mke mwenye miaka 25+? Usitegemee mafanikio

Umeoa mke mwenye miaka 25+? Usitegemee mafanikio

Wahuni wameshakuchapia mkuu pole sana...
Ila dogodogo watamu
 
Hawa washachukua laana na mikosi toka wanaume tofauti tofauti waliokuwa wapenzi wao huko nyuma. Na wengine wameacha machozi ya machungu kwa wanaume walio wekeza nguvu na rasilimali zao kwa wanawake hao wakijua watawaoa. Lakini mwishowe wakasalitiwa.

Kuna swali linaulizwa na wengi, "kwanini ndoa za miaka ya zamani zilidumu kuliko za sasa? " Jibu: wanawake wa zamani walijitunza na hivyo waliolewa wakiwa mabikra.

Hawa wa siku hizi wanakuwa washaharibiwa kila tundu asilia la mwilini ndiyo wanaolewa. Halafu ndiyo unaoa mwanamke kama huyu, kisha utegemee mafanikio na utangamano katika ndoa? Migogoro na mikosi itakuandama tu.

Mfano mtu ashatembea na mijanaume mikubwa kiumri kuliko babako mzazi tangu akiwa na miaka 15, unategemea k imelegea kiasi gani? Hata ufanyeje utaishia kuonekana una kibamia. Unategemea hisia za kimapenzi ashapoteza kiasi gani? Kiharage kimekomaa mpaka kimeota magamba kama ya pelege. Unategemea ashachukua laana kiasi gani? Nyingine ziliingia kwa kunyonya, nyingine kwa kuruka ukuta na nyingine kuonyesha utupu kwa mtu mzima kuliko babake mzazi.

Wanawake wengi sana zaidi ya 95% ktk umri wa 25+ wanakuwa washapata mimba lakini huzitoa. Halafu anakuja humu na kujinasibu kwa kubana pua "nina miaka 26 sina mtoto". KE wa namna hii inabidi aulizwe ulimpeleka wapi mtoto? Kwenye nafsi yake lazima atakumbuka idadi kubwa ya watoto aliyowatupa chooni.

Ndugu yangu mwanamke wa namna hii utakuwa kila Unalolifanya linadunda maana umeoa nuksi.

USHAURI:
Ukitaka kuoa, oa mwanamke ambaye ni chini ya miaka 25 kiumri. Ana madhambi na laana chache. Na kila mipango utakayoipanga itafanikiwa kwa kuwa hakuna kikwazo ktk ndoa yako.

(JF ni mtambo wa kurekebisha tabia)
Nahisi kuna ka' ukweli flani hivi.![emoji102]
 
Aisee, huwez kugeneralize k2 kama hicho kutokana na waschana unaowajua ww. Ulifanya maamuzi kwa fikra kama hizi lazima uumie
Wachache sana wanaoangukia nje ya hoja yangu. Ndiyo hao 5% niliyowatenga.

Fika mashuleni na vyuoni uone jinsi wanafunzi wa kike wanavyobebwa na mibaba. Hutoamini meno yako. Unaweza ukalia na ukagoma kumlipia mwnao ada. nayaongea haya kwa kuyaona. Kwenye mikusanyiko wadada wanakuwa ni vitoweo. Dunia Imevaa chupi
 
Damu ya Yesu Yatosha. Yasafisha dhambi na mabaya yake yote.

Unapofunga Ndoa Unaungama na kusamehewa dhambi zote.

Yesu anakuwa ndani yako nawe ndani yake. Unaumbwa Upyaaaaaaa.
Haya ni maneno ya kujifariji na ndio kazi ya dini.
 
Ingawa sio wanawake wote walio ktk umri huo wapo hivyo alivyosema mleta mada lakini asilimia kubwa wapo hivyo. Jamani ukweli ni mchungu sana lakini huyu chizi bin mwendawazimu bin kichaa kaongea ukweli tupu. Mleta mada nisamehe kwa kukuita majina mabaya na yasiyo kustahili. Dada zangu naomba mnisamehe lakini huu ndio ukweli. Najua humu wanaume wanaovizia wadada JF, au wale wenye wachumba, au walioa wanawake wa umri huo watamshambulia sana mleta mada na yeyeto anaye muunga mkono lakini hii haitabadili ukweli huu. Narudia tena naomba msamaha kwa wanawake walioguswa na mada hii.
 
Ndoa za wazazi wetu zilidumu kwa kiasi kikubwa kwa mwanamke ndoa ilikuwa ajira na wazazi wetu wengi mishahara ya enzi za ujamaa hawakuwa na michepuko au pesa ya kwenda bar kila siku.
Isitoshe kulikuwa Hakuna social network kama sasa hivi kwaiyo kupata ushilawadu sijui nani katoka na nani au kafumaniwa na nani ilikuwa ngumu.
 
Thad uwai mapema kuolewa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] si mpaka nimpate wa kunioa? Nioe wewe ili niwe mama bora....[emoji12] [emoji12] [emoji12]

External forces has nothing to do with my life. So i will marry when i want!
 
Mkuu usipende kuhukumu watu wote kwa kosa la mtu mmoja na wala usipende kukariri maisha. Sio wote wako hivyo no malezi tu ukilelewa vizur waweza fika hata 30 years uko bikra unamaliza kusoma unaolewa. Lkn malezi yakiwa mabaya hata ukioa wa 15 years waweza mkuta na shimo km kaangukiwa na kimombo.
Ameeleza vizuri tu. Hakuna mahali kasema wote bali kasema asilimia 95 ya wote kwa hivyo hao watano kati ya mia moja watakuwa hawapo hivyo.
 
S
Hawa washachukua laana na mikosi toka wanaume tofauti tofauti waliokuwa wapenzi wao huko nyuma. Na wengine wameacha machozi ya machungu kwa wanaume walio wekeza nguvu na rasilimali zao kwa wanawake hao wakijua watawaoa. Lakini mwishowe wakasalitiwa.

Kuna swali linaulizwa na wengi, "kwanini ndoa za miaka ya zamani zilidumu kuliko za sasa? " Jibu: wanawake wa zamani walijitunza na hivyo waliolewa wakiwa mabikra.

Hawa wa siku hizi wanakuwa washaharibiwa kila tundu asilia la mwilini ndiyo wanaolewa. Halafu ndiyo unaoa mwanamke kama huyu, kisha utegemee mafanikio na utangamano katika ndoa? Migogoro na mikosi itakuandama tu.

Mfano mtu ashatembea na mijanaume mikubwa kiumri kuliko babako mzazi tangu akiwa na miaka 15, unategemea k imelegea kiasi gani? Hata ufanyeje utaishia kuonekana una kibamia. Unategemea hisia za kimapenzi ashapoteza kiasi gani? Kiharage kimekomaa mpaka kimeota magamba kama ya pelege. Unategemea ashachukua laana kiasi gani? Nyingine ziliingia kwa kunyonya, nyingine kwa kuruka ukuta na nyingine kuonyesha utupu kwa mtu mzima kuliko babake mzazi.

Wanawake wengi sana zaidi ya 95% ktk umri wa 25+ wanakuwa washapata mimba lakini huzitoa. Halafu anakuja humu na kujinasibu kwa kubana pua "nina miaka 26 sina mtoto". KE wa namna hii inabidi aulizwe ulimpeleka wapi mtoto? Kwenye nafsi yake lazima atakumbuka idadi kubwa ya watoto aliyowatupa chooni.

Ndugu yangu mwanamke wa namna hii utakuwa kila Unalolifanya linadunda maana umeoa nuksi.

USHAURI:
Ukitaka kuoa, oa mwanamke ambaye ni chini ya miaka 25 kiumri. Ana madhambi na laana chache. Na kila mipango utakayoipanga itafanikiwa kwa kuwa hakuna kikwazo ktk ndoa yako.

(JF ni mtambo wa kurekebisha tabia)
Sio bure hiyo laana lazima na wewe imekukuta maana sio kwa mipovu hiyo.
 
Back
Top Bottom