BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 4,869
- 13,137
Basi mikoa yote ni majinga sio Dar pekee wanaoamka saa 10 afu usiwe na fikra potofu sio kila mtu dar anaamka saa kumi.Wazoefu wa kushika bomba kwenye daladala hawatakuelewa, wao kuamka saa 10 alfajiri kulala saa 6 usiku kama majinga.
Akishaweka makazi huko anakua ni kijana wa daslam mikoan ukileta tabia za ajabu unachezea kichapoHao ni vijana wa kigoma
Mtafutaji yeyote lazima aamke asubuhi na mapema ntashangaa mtu anayejisifia kulala sanaBasi mikoa yote ni majinga sio Dar pekee wanaoamka saa 10 afu usiwe na fikra potofu sio kila mtu dar anaamka saa kumi.
Mm nimetania tuu..sasa mwendokasi una tofauti na bajaji?...au boda boda?Kinachowauma nyinyi ni watu kupanda mwendokasi kweli wivu ni tatizo sugu..
Mbona kigoma wapo kibao je na wale wa Arusha wanaemwita Kila mwenye gari billionaire jeAkishaweka makazi huko anakua ni kijana wa daslam mikoan ukileta tabia za ajabu unachezea kichapo
Sasa ngoja apande hizo korosha zake baada ya kukomaa miaka 5 kisha wenyeji wamuombe hati miliki ya hiyo ardhi, ndio atajua kuwa hajui.Braza alifika kijiji fulani kuuliza ardhi ya kulima huko chobingo akapewa upana wa hekari 5 urefu ajipimie mwenyewe.
Kama akilima hekari 40 na kupanda mikorosho baada ya miaka 5 atakuwa wapi?
Aiseehuu ushamba wa watu kuona dar ndo kila kitu utaponza watu wengi....
Wapi usipokuwa huna pesa ni tamu?? Maisha ya Dar yanareflect maisha ya miji mingi Tanzania tofauti ni ndogo hususani kwenye wingi wa watu ambapo ni added advantage kwa Dar maana Kampuni nyingi zinafunguliwa na fursa za biashara.Ila watu wa dar wana roho ngumu sana mtu anaishi chumba kimoja, kuna kitanda, TV, sofa, vyombo mpaka mtungi wa gesi ndani daah! Usafiri sasa kama kwa wale wapanda daladala ndo kivumbi.. Dar kama huna hela ni pachungu sana.
Mtu anaishi mbagala, chanika, keko, manzese sasa hapo uko dar au uko uswenkeni.. Mtu anayeishi dar ni anayeishi ushuani tu ila hawa wengine ni bora waje tulime nao viazi huku kijijini
Kijana wa daslam mafanikio kwake ni kumiliki samsung au iPhone, hata iwe ya laki 2 tu inatosha ilimrad isiwe tecno anaona katoboa, hapo anatafuta suruali fupi anavaa na viatu bila soksi, akipata earphone ya buku 3 na mewani nyeusi, akawa na account twitter basi ye hapo anaanza ukudaIla watu wa dar wana roho ngumu sana mtu anaishi chumba kimoja, kuna kitanda, TV, sofa, vyombo mpaka mtungi wa gesi ndani daah! Usafiri sasa kama kwa wale wapanda daladala ndo kivumbi.. Dar kama huna hela ni pachungu sana.
Mtu anaishi mbagala, chanika, keko, manzese sasa hapo uko dar au uko uswenkeni.. Mtu anayeishi dar ni anayeishi ushuani tu ila hawa wengine ni bora waje tulime nao viazi huku kijijini
Watu wanachuki ambazo hazina logic.Mtafutaji yeyote lazima aamke asubuhi na mapema ntashangaa mtu anayejisifia kulala sana
Watu wa dar wana magumu sana basi tuKijana wa daslam mafanikio kwake ni kumiliki samsung au iPhone, hata iwe ya laki 2 tu inatosha ilimrad isiwe tecno anaona katoboa, hapo anavaa na viatu bila soksi, suruali fupi akipata earphone ya buku 3 na mewani nyeusi, akawa na account twitter basi ye hapo anaona katoboa
Hili la kupewa ardhi umenikumbusha mbali, mwaka 2011 nilienda Songea nikakutana na rafiki yangu mtumishi wa Uma ananiambia anamiliki acre zaidi 1,000 nikimwangalia hali yake ya kifedha hailingani kabisa na hizo heka maana nilikuwa nafananisha na bei za ardhi mikoa ya kaskazini.Bila salamu nawapa ujumbe wenu enyi watu.
Mnaweza kusema kuwa najiinua au nawakashifu ila Mimi siko huko. Ni upendo tu.
Waarabu wanasema fikisha ujumbe hata kama ni mchungu.
Miaka 5 inatosha kabisa mtu kupima bahati ya maisha Dar es salaam au mahali popote.
Unaishi Dar miaka zaidi ya 5 huna nyumba, huna kiwanja, kula kwako ndo kule unatafuta leo ili ule leo, kila siku kwenye daladala wewe ukichomoa pesa kubwa basi buku 2.
Unalala store (jiko, meza, sofa, feni, kitanda, pasi, bag la nguo na vitu vingine vyote ukifungua macho tu hivi hapa.
Tanzania hii kuna mahali kama Liwale huko Lindi ukifika kijiji chochote ukiomba ardhi ya kujenga au kulima unapewa bure kabisa. Yet wewe uko dar hata hatua 4 za ardhi Chanika huna . Umerogwa shituka
Kijijini wenzako wenye bidii wanamiliki pikipiki, gari, guta, nyumba, duka nk.
Kijijini ni bidii zako tu. Mjini kuna pesa kuliko kijijini ila kama kila ukihangahika huzipati za kukukwamua ni vyema utafute chimbo kijijini.
Braza alifika kijiji fulani kuuliza ardhi ya kulima huko chobingo akapewa upana wa hekari 5 urefu ajipimie mwenyewe.
Kama akilima hekari 40 na kupanda mikorosho baada ya miaka 5 atakuwa wapi?
Nakuuliza wewe unayelipwa laki 2 na Mwindi.
Huo ndo ukwel Maisha ya dar ya kwenye media na uhalisia ni vitu tofauti wanaoishi maisha mazuri ni wachache asilimia kubwa maisha ni magumu kwenda kuoga inabidi uende na shuka lako ndo utundike iwe mlango wa bafu, hao ndo wanatakiwa waondoke watafute fursa mikoani ili kupambana na umasikini.Watu wa dar wana magumu sana basi tu
Samsung na iphone zinamilikiwa na vijana wa dar tu? Mbona Tecno, infinix na Itel zinatumiwa na vijana wengi Dar es salaam..Kijana wa daslam mafanikio kwake ni kumiliki samsung au iPhone, hata iwe ya laki 2 tu inatosha ilimrad isiwe tecno anaona katoboa, hapo anatafuta suruali fupi anavaa na viatu bila soksi, akipata earphone ya buku 3 na mewani nyeusi, akawa na account twitter basi ye hapo anaanza ukuda