We unasemea njombe ya wap?ambayo viazi ni vya msimu saivi kuna kipalila au vya kumwagilia vutoka ivo mvua ina anza yani kwa mwaka unalima mara tatu.Mimi niko Dar mwaka wa 8 sasa ni government employee . Sasa unataka niache kazi ya uhakika nikalime?
Nikitaka kulima huwa nalima mazao ya msimu Njombe viazi mviringo.
Hayo maeneo kama Njombe yote nimekwisha zurura, Kanda ya Ziwa yote mpaka ndani ndani kule Mpanda Mlowoka achana na hapo Buseresere au Hungumalwa.Tembea uende ukajionee siyo habari za kuambiwa ni habari za kushuhudia
Wateseke wao uumie weweWazoefu wa kushika bomba kwenye daladala hawatakuelewa, wao kuamka saa 10 alfajiri kulala saa 6 usiku kama majinga.
Unaumia wewe huko mkoani,Wanajiona wa town....kuwahi mwendo kasi ili wawahi kwa Mwindi.... [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Dar hakuna maisha magumu maana kila kitu kinapatikana. Huko mikoani maji ya 250 ndo wanauziwa 500Watu wenye maisha magumu wapo Dar tu acheni mawazo mgando mi nimeishi Morogoro ndani ndani maisha ni magumu nikaja kuishi Dodoma still hali ni mbaya so kuhama sehemu hakuwezi kukufanya ukawa big boss
Na ww uko kwa Mwindi mtani?Unaumia wewe huko mkoani,
Kwa hiyo unaumia wakisifia?Sahivi baadhi vijana wa daslam wameanzisha tabia ya kuwasifia wanaume wenzao wenye kipato tena wanawasifia kupita kiasi ili tu wapewe chochote wanajiita machawa mwisho nao wanalilia kuolewa
Ila tukija huko mikoani tunawaona nyinyi ndio wenye maisha magumu mmechakaa kuliko sisi tulioko dar. Kwa iyo mnataka tuje huko tusote wote? Nyinyi limeni, Chomeni mikaa, vueni samaki sisi mtuache tushazoea maisha yetu.Wazoefu wa kushika bomba kwenye daladala hawatakuelewa, wao kuamka saa 10 alfajiri kulala saa 6 usiku kama majinga.
Ukiona mkoa umedumaa jua kuna umasikini mkubwaBasi mikoa yote ni majinga sio Dar pekee wanaoamka saa 10 afu usiwe na fikra potofu sio kila mtu dar anaamka saa kumi.
Kigamboni huko unapata ila hauna pesa ya kununuaHivi hapa bongo land naweza kupata hekari 20 kwaajili ya makazi hata kama ni wilayani
Mbona unanidharau, UNANIJUA MI NANI...?Kigamboni huko unapata ila hauna pesa ya kununua
Mbona wa mikoani mnanuka mikyundu na tumekaa kimya?Kijana wa daslam mafanikio kwake ni kumiliki samsung au iPhone, hata iwe ya laki 2 tu inatosha ilimrad isiwe tecno anaona katoboa, hapo anatafuta suruali fupi anavaa na viatu bila soksi, akipata earphone ya buku 3 na mewani nyeusi, akawa na account twitter basi ye hapo anaanza ukuda
Hebu linganisha na kaya yoyote hapo ulipoMji wa Dar ni wachache wenye pesa zao wanakula maisha,lakini wengi ni waganga njaa tu,wanaishi maisha ya kuunga unga...
NdioNa ww uko kwa Mwindi mtandani?
Huna pesaMbona unanidharau, UNANIJUA MI NANI...?
😎 Uzuri mbwa anawajua mbwa wenzake sawa kabwela mkuuHuna pesa
Wewe ni mbwa tu
[emoji177][emoji177][emoji177][emoji7][emoji2935][emoji2935][emoji2935][emoji2969]Mtu anakwambia eti Dar siyo kila kitu[emoji28]Binadamu[emoji119]...Haya tufanye Dar siyo kila kitu...
Ni wapi ndiyo kila kitu....
Mtu anakaa kuipondea Dar...anakuambia Dar hivi, Dar vile.... Mtu uzaliwe Mkoa huo huo kama hapa Dar, ukulie Dar,usome Dar.. utaanzaje kupapenda...Hata mimi ningeongea vya kuongea....
Mtu kama umejipata huko ulipo shukuru,na huyo aliyepo Dar muache na Dar yake..
Hata mimi mwenyewe siipendelei kivile[emoji28]
MwalimuMbona unanidharau, UNANIJUA MI NANI...?