Umeshawahi ku date na mwanaume wa hivi?

Mwanaume ambae ukiachana nae anakwambia nirudishie vitu vyangu vyote nilivyokununulia 😂 utasema alikununulia vitu vya mamilioni kumbe ulikua unamvumilia tu na umasikini wake. Alafu vitu alivyokununulia unaweza kumlipa ata mara 10 yake.
Hilo ni kosa lako, hukujua kuchuja wanaume vizuri.

Mimi nikikuacha hata kama tulikuwa tunakaa nyumba moja, na nyumba nakususia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…