Umeshawahi kujiuliza Msichana wenu wa kazi 'wa Miaka hiyo' yuko wapi?

Khaaa..!!
Kwahiyo unataka mrudie? 😹😹
 
Ni mada nzuri . Ila kuna asilimia kubwa wanasema wameshatangulia mbele ya haki ,Daaah inasikitisha .pia niiipe heko familia ya mtoa mada na wengine ambao walimanage kukaa na dada wakazi muda mrefu zaidi ya mwaka nakuendelea . Wanaokaa na dada karne hii watanielewa hasa kukaa na dada hata miezi mitatu ilivyokipengele
 
Yani ulivyojutia halafu mwisho ushajua utamu wa kukojoa ukamkumbuka umle nimechoka aiseee..!! 😹😹😹
 
Kwa ufupi maisha yetu hakujawahi kuwa na dada wa kazi ila nilipendwa na madada wengi sana japo nilikuwa mafuta ya taa...(behind of secret)kutoka salasala kwa mzee john nilikuwa na madada zangu ambao tulibond effectivelly.tukiachana na Catheline wa kwa mama Budeba walikuwa wananipenda na kunijali sana.halafu kule maeneo ya salasala benacko nilikuwa na dada angu happy wa mzee mbeya All the best dada angu japo siisahaugi michezo yako mama akiondoka...ni wengi mno waliokuja kichwani mwangu japo sidhani kama w9te tunaendelea kupumua pumzi pendwa kutoka kwa Mungu.STILL I'LL LOVE YOU.
 
Kuna mmoja wa kuitwa Daines alikuwa wa iringa mwaka 1991 nipo darasa la 7 nilikuwa na pasha ila aliondoka mjamzito sasa sijui ilikuwa yangu au wajanja wakubwa zangu, hadi leo sijui alipo, hiyo ilikuwa msasani nyumba za tirdo jirani na oysterbay
 
Daah! Sikuwa najua hata pakuweka alinielekezaga yule dada, alinifundisha mambo mengi sana isivyo bahati wakati nimenogewa zikaja habari za kuhotajika kwao malamoja. Siku zikazaa week hatimae miezi nikauliza mama vp huyu mbn harudi? Nakumbuka iwas form3 sikula sikuile kwa jibu niloambiwa . Toyari alkuwa mke wa mtu ndio penzi langu la kwanza. Zile romance sikuwahi kuziona hadi leo alikuwa best sana still ♥️ u.victoria . Naskia now ni mama wa watoto wa4. Soo saad.
 
Topic nzuri Sana umefikiria vzr
Asanteni sana.
Tuko pamoja
 
Tabu
Sarah
Shamimu
Na mwingine simkumbuki.


Mungu awape maisha marefu kama bado wako hai.

Wengine walinifundisha michezo ya kwenye six by six




.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…