The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,582
- 123,152
Kumbe ni wewe!Kwetu tulikuwa na mahouse boy 😹😹
Nikiwasimulia chap watu watanijua..!!
😀😀

Tupo hapa aisee ...kwa kuogopa akawa ananipa na Mimi..baba usiku Mimi mchana..(nikiwa secondary,likizo)..form 3-4 hivi..👋👋Wale walioshtukia baba yao anakula dada wa kazi pita hapa
Dah ,aisee yule dada sijui yuko wapi? Aliitwa Dada Judy ,huyu alikua zaidi ya MamaJe, ulishawahi kujiuliza msichana wenu wa kazi wa kipindi hiko yuko wapi na anafanya nini?
Habari zenu wapendwa wana Jf na guests mnaosoma kimya kimya.
Ulishawahi kujiuliza hili swali?
Yuko wapi,
Yu hai au alifariki?
Je, kama ana watoto....huwa anakuja kuwatembelea siku moja moja?
Najua wengi wetu huwa tunawapuuza dada zetu hawa kwani wanakuwa wameshaondoka katika familia zetu na kuanza maisha yao sehemu ingine.
Dada aliyekulea tangu ukiwa una mwaka 1 mpaka unafikisha miaka 10 au 20 n.k unajua alipo?
Alikulea kwa upendo.
Alikupikia, alikufulia nguo zako za shule na za nyumbani, mlicheza pamoja.
Alikuwa anajua ratiba yako ya wiki nzima na anahakikisha anaifuata.
Kuna wadada wengine wa kazi walikuwa ni zaidi ya wazazi kuanzia kwenye upendo mpaka kwenye malezi.
Hata mzazi wako usipomuona siku 3 (kutokana na majukumu ya kazi), dada wa kazi alikuwa mstari wa mbele katika kukulinda na kukutunza.
Kuna zile familia ambazo baba na mama wanaondoka kwenda kazini alfariji sana watoto wakiwa wamelala na wanarudi usiku mkubwa watoto wakiwa wamelala pia, je, hapo umuhimu wa dada wa kazi bado hujauona?
Siku unaamka asubuhi, unakuta dada yako aliyezoea kukuamsha asubuhi, kukuogesha, kukunyooshea nguo na kukupeleka shule hayupo,....lazima ujiulize.
Najua haina umuhimu sana, ila leo nimekaa na kuwaza hili jambo.
Nawakumbuka:
1. Dada Mwajuma....alinilea tangu mama yangu kanizaa mpaka natimiza miaka 8 (huyu alishatangulia mbele ya haki, aendelee kupumzika kwa amani)
2. Dada Gerite miaka 8 mpaka 13 (ana familia yake)
3. Na dada Asha miaka 14 mpaka 18 (nachati nae sana Fb, yuko na familia yake na mumewe na watoto)
Mungu awatunze na muendelee kuwa wamama bora kwa waume zenu na watoto wenu kwa maana mlitulea vyema.
Jirani em tulia 😹😹Kumbe ni wewe!
😀😀
Hongera kwenuJe, ulishawahi kujiuliza msichana wenu wa kazi wa kipindi hiko yuko wapi na anafanya nini?

Heri yenu mliolelewa na dada wa kazi. Wengine tuliozaliwa vijijini unaamshwa kwa bakola baada ya kukuta umejikojolea, chai hakuna labda kiporo cha usiku na ubahatike kilibaki vinginevyo unakomaa mpaka saa 7 mchana. Kuoga ni baada ya siku 3 au 4 au pengine mpaka uanze kutoa uvundo na nyao kutoa magamba. Mswaki unakata kimti inakitumia leo kingine uchomeka kwenye uwazi wa kuta ya tope, nk. Hatari sanaJe, ulishawahi kujiuliza msichana wenu wa kazi wa kipindi hiko yuko wapi na anafanya nini?
Habari zenu wapendwa wana Jf na guests mnaosoma kimya kimya.
Ulishawahi kujiuliza hili swali?
Yuko wapi,
Yu hai au alifariki?
Je, kama ana watoto....huwa anakuja kuwatembelea siku moja moja?
Najua wengi wetu huwa tunawapuuza dada zetu hawa kwani wanakuwa wameshaondoka katika familia zetu na kuanza maisha yao sehemu ingine.
Dada aliyekulea tangu ukiwa una mwaka 1 mpaka unafikisha miaka 10 au 20 n.k unajua alipo?
Alikulea kwa upendo.
Alikupikia, alikufulia nguo zako za shule na za nyumbani, mlicheza pamoja.
Alikuwa anajua ratiba yako ya wiki nzima na anahakikisha anaifuata.
Kuna wadada wengine wa kazi walikuwa ni zaidi ya wazazi kuanzia kwenye upendo mpaka kwenye malezi.
Hata mzazi wako usipomuona siku 3 (kutokana na majukumu ya kazi), dada wa kazi alikuwa mstari wa mbele katika kukulinda na kukutunza.
Kuna zile familia ambazo baba na mama wanaondoka kwenda kazini alfariji sana watoto wakiwa wamelala na wanarudi usiku mkubwa watoto wakiwa wamelala pia, je, hapo umuhimu wa dada wa kazi bado hujauona?
Siku unaamka asubuhi, unakuta dada yako aliyezoea kukuamsha asubuhi, kukuogesha, kukunyooshea nguo na kukupeleka shule hayupo,....lazima ujiulize.
Najua haina umuhimu sana, ila leo nimekaa na kuwaza hili jambo.
Nawakumbuka:
1. Dada Mwajuma....alinilea tangu mama yangu kanizaa mpaka natimiza miaka 8 (huyu alishatangulia mbele ya haki, aendelee kupumzika kwa amani)
2. Dada Gerite miaka 8 mpaka 13 (ana familia yake)
3. Na dada Asha miaka 14 mpaka 18 (nachati nae sana Fb, yuko na familia yake na mumewe na watoto)
Mungu awatunze na muendelee kuwa wamama bora kwa waume zenu na watoto wenu kwa maana mlitulea vyema.
Dah....,😂😂😂😂😂 Wapi dada neema we! 🤣🤣🤣🤣🤣Wale mliokuwa mnapasha pasha kwa wadada, piteni mbele tuwaone.
Dada Neema anyanyue mkono tumuone 😁Da
Dah....,😂😂😂😂😂 Wapi dada neema we! 🤣🤣🤣🤣🤣
Dadeq wewe ni pro 😂😂😂, nachoshukuru kipind kile nilikua mdogo hata nyeto wala sikua naijua.😁😁 kazi inakuwa ni kula timing nani anaenda kuoga na saa ngapi.. ukishaona maandalizi tu.. kitu oyaaa oyaaaa
Niko hapaWale mliokuwa mnapasha pasha kwa wadada, piteni mbele tuwaone.
Waajiri wengi wa wafanya kazi za ndani huwa wanawaandaa hao wafanyakazi wao kuwa mama na wake bora mbeleni huku wakiwaacha watoto wao wa kuwazaa wajiandae kuwa wadangaji (wavivu wa kazi).Je, ulishawahi kujiuliza msichana wenu wa kazi wa kipindi hiko yuko wapi na anafanya nini?
Habari zenu wapendwa wana Jf na guests mnaosoma kimya kimya.
Ulishawahi kujiuliza hili swali?
Yuko wapi,
Yu hai au alifariki?
Je, kama ana watoto....huwa anakuja kuwatembelea siku moja moja?
Najua wengi wetu huwa tunawapuuza dada zetu hawa kwani wanakuwa wameshaondoka katika familia zetu na kuanza maisha yao sehemu ingine.
Dada aliyekulea tangu ukiwa una mwaka 1 mpaka unafikisha miaka 10 au 20 n.k unajua alipo?
Alikulea kwa upendo.
Alikupikia, alikufulia nguo zako za shule na za nyumbani, mlicheza pamoja.
Alikuwa anajua ratiba yako ya wiki nzima na anahakikisha anaifuata.
Kuna wadada wengine wa kazi walikuwa ni zaidi ya wazazi kuanzia kwenye upendo mpaka kwenye malezi.
Hata mzazi wako usipomuona siku 3 (kutokana na majukumu ya kazi), dada wa kazi alikuwa mstari wa mbele katika kukulinda na kukutunza.
Kuna zile familia ambazo baba na mama wanaondoka kwenda kazini alfariji sana watoto wakiwa wamelala na wanarudi usiku mkubwa watoto wakiwa wamelala pia, je, hapo umuhimu wa dada wa kazi bado hujauona?
Siku unaamka asubuhi, unakuta dada yako aliyezoea kukuamsha asubuhi, kukuogesha, kukunyooshea nguo na kukupeleka shule hayupo,....lazima ujiulize.
Najua haina umuhimu sana, ila leo nimekaa na kuwaza hili jambo.
Nawakumbuka:
1. Dada Mwajuma....alinilea tangu mama yangu kanizaa mpaka natimiza miaka 8 (huyu alishatangulia mbele ya haki, aendelee kupumzika kwa amani)
2. Dada Gerite miaka 8 mpaka 13 (ana familia yake)
3. Na dada Asha miaka 14 mpaka 18 (nachati nae sana Fb, yuko na familia yake na mumewe na watoto)
Mungu awatunze na muendelee kuwa wamama bora kwa waume zenu na watoto wenu kwa maana mlitulea vyema.
😂😂😂😂 ila uduguu jamaniiii, lolWalikuwa wananifundisha ukauzu kinoma, hao ndio walionifanya mpk leo nimeweka mbwa kwangu…!! 😹😹😹
Hahaha! wacha kabisa,,, tulikuwa tunajiita dakika 3 nyingi,,,, Ugali ukiwekwa kati,,, sahani bado inafuka moshi watu washaaanua vyombo....Vijana tu ambao tulikuwa madume karibia 10,Hapo hujaesabu wadada.Bado huja anticipate wageni.Maana pale ilikuwa kama charity,,, mnuso ukisikika lazima watu wapiteee kusalimiaaaDuh debe Kwa siku linaisha?