Umeshawahi kujiuliza Msichana wenu wa kazi 'wa Miaka hiyo' yuko wapi?

Muktadha.....
Kuna mama mmoja...jina kapuni.....huyu kwa sasa yuko Marekani.....alikuwa dada wa kazi ktk familia fulani hapo Dar.....amejenga nyumba nyingi sana hapo Dar...na moja ya nyumba zake amemuweka binti wa aliyekuwa boss wake....baada ya kukosa connection hapo Dar....
 

Pale home tokea 1990 wanakuja na kuondoka.Kuna mmoja alikuwepo nikawa nimegombana na mwanamke nikawa na ukame. Asubuhi naenda kupiga mswaki jikoni nikamkuta nikapiga story huku namuomba mzigo. Nilipewa mzigo na siku narudi alikua hayupo tena iliniuma mana bi mkubwa aligombana nae akaondoka.
 
Dada Hamida, dada wetu wa kazi ambaye tulifundishana mapenzi πŸ˜‚ yeye alikuwa bikra na Mm pia nilikuwa cjawah kufanya sex.

Tulikuwa tunalala chumba kimoja ila vitanda tofauti, na Mm kipindi hicho nlkuwa nshaanza ujana wa kuangalia picha za ngono hvy nilifahamu mambo kadhaa.

Nilianza kuongea nae khs hilo nae akakubali kufanya hvy.

Hatujawahi kufanya sex ile ya kuifurahia mana wote tulikuwa washamba khs sex ila kwa kipindi hicho tulifurahia.

Sasa hv yupo na familia yake, na naamini anafurahia ndoa yake.
 
So sad ya nn sasa mkuu, hutaki azae au πŸ˜‚
 
Changamoto wadada wa kazi siku hizi wanakaa miezi miwili wanahamisha kambi hivyo kukumbuka mapito yao ni ngumu.

Miaka ya 90 ukiwa na dada wa kazi anakaa hadi anakuwa mwanafamilia kabisa.
 
Dada jeska ulitulea pale sinza sijui siku hizi upo wap?? Mara ya mwisho ulikuwa mburahati,dada mariam ,dada sada mara ya mwisho ulikuwa posta unauza simu duka la muhindi flan,dada yasinta wa morogoro daaahh kitambo sana
 
Umenikumbusha jambo
 
Hongera, sisi tuliozaliwa Kijijini na kukulia huko hakukuwa na housemaids

Walikuwepo sema hamkuwa nao. Kwa Bibi na Babu yangu walikuwepo.. Na usomi wao.. Ni Kusini Kusini kwetu.. Mdada na wadogo zake wawili wa kumbe na kike walikuwa wanawasaidia.. Wakaishia kuwa kama wajukuu wao.. uzuri waliwasomesha pia wote na wana maisha na familia zao.


Dada mkubwa ndio alirudi aliolewa hapo hapo kijijini, miaka mingi sasa anaishi na watoto na wajukuu wake.. anatunza pale na maeneo ya karibu. Aliolewa akazaa akarudi kuishi pale baada ya mgogoro na mumewe...na wazee wameamua ndio aishi awatunzie hekalu la wazee wao kuliko kubaki hakuna mtu wa kuishi permanently. Ni kama kwake maana wazee nao wote wana makwao huko huko mkoani kwao. Ila bado ni makao makuu as makaburi na misiba upelekwa pale hata kama mtu hajazikwa hapo lazima pale pahusike.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…