Umeshawahi kujiuliza Msichana wenu wa kazi 'wa Miaka hiyo' yuko wapi?

Dah ,aisee yule dada sijui yuko wapi? Aliitwa Dada Judy ,huyu alikua zaidi ya Mama
 
Hatukuwahi kuwa na dada wa kazi home ila wa majirani walitusaidia sana kipindi cha balehe.Nakumbuka alimanusura bro apewe mke jamaa alisingizia hajawahi fanya chochote naye sababu mashine yake haifanyi kazi ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ mpaka leo tukirudi kusalimia nyumbani mama yetu jirani ndio salamu yake
 
Hongera kwenu
 
Kwetu hatujaishi na ma house girl but tumeishi na wada na wakaka tumelelewa kama ndugu, now wengine wana maisha yao na familia zao๐Ÿ˜,,

Now tunao wawili wa kike mmoja anasoma form3,mwingine form 1,,,,
 
Heri yenu mliolelewa na dada wa kazi. Wengine tuliozaliwa vijijini unaamshwa kwa bakola baada ya kukuta umejikojolea, chai hakuna labda kiporo cha usiku na ubahatike kilibaki vinginevyo unakomaa mpaka saa 7 mchana. Kuoga ni baada ya siku 3 au 4 au pengine mpaka uanze kutoa uvundo na nyao kutoa magamba. Mswaki unakata kimti inakitumia leo kingine uchomeka kwenye uwazi wa kuta ya tope, nk. Hatari sana
 
1.Noela alikua pisi kali mmbulu huyo , sahivi yuko zake Mbulu Manyara kafungua duka la vitenge na kaolewa(alikua na roho nzuri jamaa kapata mke)

Namkumbuka huyo mmoja wengine sijui wako wapi
 
๐Ÿ˜๐Ÿ˜ kazi inakuwa ni kula timing nani anaenda kuoga na saa ngapi.. ukishaona maandalizi tu.. kitu oyaaa oyaaaa
Dadeq wewe ni pro ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚, nachoshukuru kipind kile nilikua mdogo hata nyeto wala sikua naijua.

Nilikua naangalia tu wasichana wao wakoje ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Waajiri wengi wa wafanya kazi za ndani huwa wanawaandaa hao wafanyakazi wao kuwa mama na wake bora mbeleni huku wakiwaacha watoto wao wa kuwazaa wajiandae kuwa wadangaji (wavivu wa kazi).
 
Walikuwa wananifundisha ukauzu kinoma, hao ndio walionifanya mpk leo nimeweka mbwa kwanguโ€ฆ!! ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ ila uduguu jamaniiii, lol
 
Duh debe Kwa siku linaisha?
Hahaha! wacha kabisa,,, tulikuwa tunajiita dakika 3 nyingi,,,, Ugali ukiwekwa kati,,, sahani bado inafuka moshi watu washaaanua vyombo....Vijana tu ambao tulikuwa madume karibia 10,Hapo hujaesabu wadada.Bado huja anticipate wageni.Maana pale ilikuwa kama charity,,, mnuso ukisikika lazima watu wapiteee kusalimiaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ