Umeshawahi kukata tamaa ya maisha? Ipi ilikuwa sababu

Umeshawahi kukata tamaa ya maisha? Ipi ilikuwa sababu

Kuna kile kisa cha Mpauko(R.I.P) yule jamaa alipambana aisee!

Alikaza na kukaza.

Lakini haya maisha bwana, Acha tu.

Kisa cha huyu jamaa kilinifunza kwamba, Suffering today doesn't guarantee a better tomorrow, you may suffer until you die.

Yani unaweza kukaza na kukaza, Lakini kuna point inafika unakubali kwamba hapa nimefika mwisho. Nikapumzike sasa.

Mimi si wa kwanza kuzaliwa wala si wa mwisho kufa.

Ndio maana watu huwa wanajiua.

Daaah Mpauko jamani! Nadhani huyu member sitakuja kumsahau....kwa nyuzi zake na hata sura yake huwa hainitoki

Alipambana kweli lakini ndio vile tena maisha hakuyaweza
 
Same time maisha kuna vitu vinatokea ili tuweze kujifunza nn maana ya maisha yalivyo kwaiyo siyo kulaumu kila jambo baya linalokuja kwenye maisha yako unamkufulu mungu haipo ivyo tujalibu kujifunza kwenye kila hali iwe happy au hardtime

For real mwaibile
Tukichukulia kila jambo kama funzo nafikiri unafuu wa nafsi ungekuwepo
 
Mungu mkuu sana 🙌
Ni kweli unapanga lako na yeye anapanga lake, muhimu sana kutojikatia tamaa

Hongera sana!!
Hii ikawe motisha kwa wanaosoma huku hawana matarajio ya kupata kazi kwa kukatishwa tamaa na walimwengu...watu wasome tu,ya mbeleni hatuyajui

Sema kalenda inasema tarehe 14 Nov, 2015 ni jumamosi sio ijumaa 😁
Kabisa Mkuu hakuna kukata tamaa, ilikuwa Ijumaa ya tarehe 13/11/2015 na sio 14 nili mistake mkuu.
 
Nilitumia milioni 8 kutibu tatizo lililonikosesha ajira na ujuzi ninao lakini matokeo yake tatizo liliendelea kuwepo hadi sasa najiuliza kwanini nisingewekeza pesa kwenye biashara nikiwaza kuajiriwa tu ningekuwa mbali sana
 
Back
Top Bottom