Umeshawahi kukata tamaa ya maisha? Ipi ilikuwa sababu

Umeshawahi kukata tamaa ya maisha? Ipi ilikuwa sababu

snpate ujasir kama bratha mpauko alivyolimaliza gemu kwa nguvu maana saiv yeye haugulii mateso kwenye hii dunia katil
Mkuu usifikie hatua hiyo,hilo giza halitodumu,bado hatua chache sana za kufikia mwanga.
Jambo la msingi,chapa kazi yoyote kwa nguvu zako,ukikosa kazi za watu fanya zako,hakuna jasho la mtu litaenda bure.
 
Hivi nani alishawahi kumpenda mtu then by one way or another isiwe meant to be?

Guys, Mwaka juzi nilipitia Maumivu makali saana, it was the most excruciating pain I ever had..

Nilipata dark night of the soul(yaani unakuwa kama mzoga unao tembea) nafsi inakosa mwanga kabisa, nothing feels exciting)

I never knew I was weak, nililia kama mtoto, nilimtumia message ka essay, nikawaambia watu wa karibu, mpk nikaja na uzi humu..

Hapo ndo nilipo funzwa ya kuwa, mapenzi ni usenge mambo ya hopeless romantics ni kuwaachia wazungu tu..

Healing, ilitokea pale nilipo amka siku moja na kugundua kuwa ukipenda bila return unakuwa mtumwa...

Niliacha, kumwaza ghafla nikaanza kufocus na kufurahia maisha ya kila siku, bila expectations za kupata mtu ka yeye..

Well, that's when nikakutana na mrembo mwingine, aliyenipenda ila sikutarajia kama tungeenda popote, we still together (long distance) ila ndo hivyo ile break up ndo imesababisha nimekuwa imara.

Cc meghan markle
Kupenda mtoto wa mtu ni ujinga mkuu.
 
Mimi nilikuwa na ups and downs nyingi sana lakini sijawahi kushika panga au kisu kukata tamaa. Kitu nilichobarikiwa ni kwamba niligundua mapema sana tangu niko O'level kuwa mimi ndio boss wa maisha yangu. Ngumu sana kuzaliwa na kukua kwenye judgemental societies kama ya Dar es salaam lakini mwisho wa siku I won 🏆
🔥🔥🔥
 
Sasa anamtoaje bikra mama yake wakati Huyo mama yake kamzaa baada ya bikra yake kutolewa na babaake..!! 😹 Naona unajitahidi lakini huko uliko mbali sana..!! Hivi kuna mwanaume anaweza kusema siri kama hiyo hata ingekuwa kweli? Hiyo Siri huwezi kuijua hata kwa kubet..!! 😹
 
ila siku niliamka nikaenda baharini nikapiga ukunga na kelele pale mpaka stress zangu zikaisha nikaapa kwa majina yote.
Pole sana mkuu.
IMG_5079.jpeg
 
Back
Top Bottom