Umeshawahi kukata tamaa ya maisha? Ipi ilikuwa sababu

Umeshawahi kukata tamaa ya maisha? Ipi ilikuwa sababu

2021 alipokufa Magu. mother alipoingia na kuanza kuondoa baadhi ya taasisi , uhamisho ..Baadaye , unaanza kukosa mapene , sina hamu na hizi kazi ila kwangu sio kesi . Sitamani kufa ila niliona wanasiasa ni watu wa hovyo sana , all of sudden unakuja kuambiwa ,serikali imefuta taasisi yenu so wengine watapelekwa halmashauri tena porini huko.

Wawekezaji wanapewa dili ili kufungua uchumi , hizo taasisi huko awali chadema walidai ni miradi ya Magufuli. Niliona nyota ila kwa level zangu , ndani ya mwezi maisha yakaendelea mpaka leo .​
pole sana mkuu
 
Hapo cha kufanya usi top up mkuu...natumai deni limesogea,,utapo chukua mkopo awamu ijayo malizia vipengele vilivyo baki,ikiwemo kumalizia nyumba.
Sintachukua tena japokua unaisha 2030. Long way to go. Napambana nikipaua nihamie kimaisha plus. Kuna muda nataka nijenge one bedroom nihamie. Kodi dar ni mzigo mzito.
 
Sali, mahubiri mengi Youtube.com sechi kusali.. PIA

Ndugu yangu, kwanza pole sana kwa unayopitia. Kutambua na kusema ukweli kuhusu hali yako tayari ni hatua kubwa kuliko wengi wanavyofanya.

Kitu ninachokiona si kwamba mshahara wako wa karibu milioni 3 ndio tatizo pekee. Tatizo kubwa zaidi linaonekana kuwa ni mzunguko wa pombe, kamari, madeni na msongo wa mawazo.

Haya mambo manne yakikutana, hata mshahara mkubwa unaweza usionekane kabisa.

Pombe inakula pesa, afya na maamuzi. Kamari inakula matumaini kwa ahadi za utajiri wa haraka ambazo mara nyingi haziji. Mwishowe mtu anabaki na madeni, lawama na maumivu ya ndani.
Ushauri wangu ni huu:

Simamisha kamari kabisa. Hata ukifikiri utarudisha hasara, mara nyingi hasara huongezeka.

Punguza au acha pombe hatua kwa hatua kama kuacha ghafla ni ngumu.

Andika madeni yote kwenye karatasi na yapange kwa umuhimu.

Tengeneza bajeti ya familia kabla ya matumizi mengine yote.

Tafuta chanzo cha ziada cha kipato hata kidogo kuliko kutegemea bahati ya kamari.

Zungumza na mke wako kwa uwazi; msibebe mzigo kila mmoja peke yake.

Kama mawazo yamekuwa mazito sana, tafuta mtu wa kuzungumza naye unayemuamini au mshauri wa kitaalamu.

Naomba ujue jambo moja muhimu. Watoto wako bado wanakuona wewe ni mtu wa maana. Hiyo si kitu kidogo. Wao wanaona baba yao, si madeni yako. Wanaona mtu wanayempenda, si makosa yake.
Usikate tamaa.

Maisha yanaweza kubadilika, lakini yatabadilika zaidi kwa maamuzi ya kila siku kuliko kwa tiketi ya kamari au chupa ya pombe.

Chukua hatua moja leo, halafu nyingine kesho. Baada ya miezi kadhaa unaweza kushangaa umefika mbali kiasi gani.
Uko kwenye kipindi kigumu, lakini bado hujashindwa.

Kadiri unavyopigania familia yako na kujirekebisha, bado kuna nafasi ya kujenga upya furaha, heshima na utulivu wa maisha yako.
Hapa hujaandika wewe Coco, huu sio mwandiko wako.
 
Nta andika kitu juu yako utajifunza
Unatumia nini kuandika?
Mimi napitia makubwa! Ninafanya kazi salary basic inakaribia 3m. Nashindwa hata kulipa Kodi na kulisha watoto. Madeni Kila Kona. Pombe, kamari na aibu zimenizunguka. Sina furaha, mke wangu hana furaha. Watoto tu ndo wamebaki na matumaini , wao hufurahi muda wote na kuniona Mimi ni mtu wa maana.

While deep down I'm slowly dying.
 
ILO Jimbo nimetangaza nia tayar.. lami, maji,umeme, madawati kifupi nimeanza na miundo mbinu yote kwa ujumla?

Ila TU Mimi sio professor jay wa Sio mzeee..

☺️😊

NB. Sisi wengine Mungu alitupa BABA nawaza nilipata muda niandike kitu kwa ajiri ya woteeeeeee walio baba au ma upcoming BABA.

Lamomy ushawai ona mkuu wa majeshi CDF analia.. nenda Iran na Israel uta shuhudia

Mimi ni mdau wa afya waandamizi senior nimeona mengi ila hili la baba angu bado kinaniumiza na sio Mimi ni dhaifu ila kwakua sikutarajia kua siku moja hatutokua nae.

Mimi na ROHO ngumu chuma... Kwa kua nimetangaza nia jimboni utanijua vizuri 😊
Dr bhana usinifanye nicheke, hii yako sasa ni dictatorship hutaki kupitishwa na wajumbe unajikabidhi jimbo kinguvu..!!😹😹😹

Unashindwa kukubaliana kwenu wewe ni last born?
 
Nilipompoteza my momy nilihisi dunia imefika mwisho..!! 😥
Nilikua nashinda nalia muda wote hata shule niliona ya uchungu..!

Ilikuja kunitokea tena hiyo hali kwa mwanaume niliyempenda sana aliponipa siri yake aliyonificha kipindi kirefu kwa kuogopa kunipoteza..!! 😭😭

Nilimuacha huku nampenda na sijawahi kutamani kuingia kwenye mapenzi tena..!!

@de Gunner soma tena wapi nimesema nimelilia mapenzi? Wapi nimesema ana kasoro?
 
Dr bhana usinifanye nicheke, hii yako sasa ni dictatorship hutaki kupitishwa na wajumbe unajikabidhi jimbo kinguvu..!!😹😹😹

Unashindwa kukubaliana kwenu wewe ni last born?
HUJAWAI KUONA WABUNGE JIMBONI WANAPITA BILA KUPIGWA... Ndio Mimi mfano wa FRED LOWASSA

Ngoja nirudii huko NAANZA LOBBYING Jimbo ni langu umekosea kutangaza Mimi Nisha Anza lobbying... Ila Mimi ni mpole, mtaratibu, nidhamu kwa uchache..

Sipendii watu micharuko, mambo mengi (UNGA WA NGANO) ,Ujuaji mwingi , makelele... Ntatoka ndukii


NB. Lamomy kama wakuu wa majeshi nao hulia hata Osama bin laden, ayatollah KHEMENEI SUPREME LEADER marehemu amewai kutoa chozii Mimi ni nani LAMOMY 😊☺️😀

Hakuna cha u last born, hapa nipo napiga konyagiiii ndogo moja mdogo mdogo.. soon ntaachaa
 
Back
Top Bottom