Asee no one knows their destinyDah, jaribu ku move on mzee baba, kubaliana na uhalisia mshikaji wangu, maisha hayakupi unachotaka.. yanakupa yanachotaka yenyewe..
WAtu wengi maishani kuna vitu vimetutokea, vikaturudisha nyuma vikatupoteza kwenye ramani, vikaacha mafonda na makovu mazito, ila unapona ukikubaliana na uhalisia...
Kipindi mie nasoma, nilikuwa najiona kabisa mimi ni engineer, kuanzia msingi mpaka O level.. ile mtu anakwama anakuletea pepa unamsolvia.. kininja. Vigumu kwao, vyepesi kwangu, namaliza O level ninapewa cheti cha mwanafunzi bora katika MATHEMATICS, PHYSICS, GEOGRAPHY, KISWAHILI NA ENGLISH..
Kimbembe kikaja A LEVEL baada ya kumtia mtu mimba, misukosuko ikaanzia hapo, stress zile shule siendi, kibaya zaidi mie shule maza wangu alikuwa hanifuatilii sababu ya yale matokeo yangu ya hmkuanzia primary, alikuwa na imani na mimi..
Aisee zile stress za mimba shule pakawa hapaendeki, HAPASOMEKI, end of the day pepa la six nilifanya hovyo, NIKAFELI, ile hamu ya kusoma ikakatika moja kwa moja, nikapaswa niende diploma kwa cheti cha 4m 4, mwaka ule nikagoma akili inagoma mimi sio wa kusoma DIPLOMA, hapo mtoto tayari kaishajulikana na home.. nikapiga mishe fulani, kidogo hali ikawa sawa kiuchumi kwangu mimi,
Mwaka uliofuta nikaingia DIT, nikawa napiga diploma ya Telecom, semester ya kwanza fresh, ya pili nikaanza kujisikia unyonge, mie niko diploma mwaka wa kwanza wenzangu wa A LEVEL wapo degree mwaka wa 2, wakat wale wa shule ya msingi ni mwaka wa 3, pale 4m 1 nilizingua nikampiga ticha, nikaenda kuanza form 1 upyaa.. ile ikawa inanisumbua saana akilini, nasoma diploma na vitoto vidogo mnoo, nilikuwa na mwanangu mmoja mpemba, kidogo yeye umri ulikuwa umesogea, ndio alikuwa ananiletea sana maswali ya namba namchapia ngoma, alitokea nikubali sana, enzi hizo nasikiliza sana ngoma za 2pac, tunachapa ngoma, huku tunasikiliza ngoma za pac, lupe fiasco, naughty by nature, weezy..
Siku namwambia nina drop vhuo jamaa hakukubaliana na uhalisia, alijitahidi sana kunishauri lakini wapi..
Nikaacha chuo nikarudi mtaani kusaka pesa, aisee acha kabisa hali ikawa tata, kibaya zaidi nje ya mfumo miaka inaenda haraka, mie sijajipata wenzang wameua diploma, wengine wamekula ajira, jamaa yangu akaunga., anamaliza degree mie ndio kwa mbaali najipata pata..
Kibaya zaidi sasa ile hali ya mimi kutokumaliza shule, kutokuwa engineer, kutokufikia malengo.. hali ilikuwa inaniumiza sana.
Usiku nalala, naota nipo class, nimezungukwa na watu nawasolvia, mara naingia kwenye pepa, napiga pepa naiona hii rahisi kabisa, mara nipo shule ya msingi, ilikuwa asubuhi nawafanyia masahihisho ya pepa ya namba kila j3.. aisee ndoto zilinitesa zile ni miaka hii ndio zimepungua sana, miezi 6 ama 7 sioti chochote..
Na ndio sasa hivi kidooogo naona u ahueni wa maisha mzee, japo sijajipata kiviiile, ila 30k, 50, 100k tu nazipata pata daily..
Kuna kipindi nikapata uteja wa kubeti, aisee acha kabisa, kidogo nichizike.. kila senti ninayopata naipitisha kwenye betting, hela izae hela kuna muda nakula ila vipigo vilikuwa vingi, unaoata milioni paaaaap.. siku 1 au 2 huna, stress zake nahisi ni bora umfumanie mkeo anapigwa pumbu kuliko ile.
Kipinid hiko arsenal mbovuuuuùu, Nikaanzishaga msemo
"Kama kubeti na arsenal haviniui, basi stress za mapenzi haziwezi niua kamwe
Natumai siku 1 nitafikia lengo.
So i can feel you mzee, usikate tamaa, potezea njia hiyo, njia zipo nyingi unaweza fanya kingine na ukatoboa.
Mubaliana na uhalisia, maisha yaendelee la sivyo utazua magonjwa mengine makubwa mnoooo
Thats life dawg we go again ✊🏿2024 nilipofukuzwa kazi, ilikuwa n sehemu ya ndoto yangu kutokana na nilichosomea, mbaya zaidi niliondolewa kwa kusemewa mambo ya uongo 😭
Mpaka sasa bado siko Sawa kiakili, Hua najaribu kujiweka sawa ila bado ni kitu kinachoniumiza mno
Let her rest in piece huko aliko 🙏🏾Nilipompoteza my momy nilihisi dunia imefika mwisho..!! 😥
Nilikua nashinda nalia muda wote hata shule niliona ya uchungu..!
Ilikuja kunitokea tena hiyo hali kwa mwanaume niliyempenda sana aliponipa siri yake aliyonificha kipindi kirefu kwa kuogopa kunipoteza..!! 😭😭
Nilimuacha huku nampenda na sijawahi kutamani kuingia kwenye mapenzi tena..!!
Mvinyo mpya unalijua tatizo lako la kwanza ni pombe. Chukua hatua. Chukua likizo, hata bila malipo uende sober house.Mimi napitia makubwa! Ninafanya kazi salary basic inakaribia 3m. Nashindwa hata kulipa Kodi na kulisha watoto. Madeni Kila Kona. Pombe, kamari na aibu zimenizunguka. Sina furaha, mke wangu hana furaha. Watoto tu ndo wamebaki na matumaini , wao hufurahi muda wote na kuniona Mimi ni mtu wa maana.
While deep down I'm slowly dying.
Kumbe Jimbo lipo wazi naomba kutangaza nia rasmi.Nilipompoteza my momy nilihisi dunia imefika mwisho..!! 😥
Nilikua nashinda nalia muda wote hata shule niliona ya uchungu..!
Ilikuja kunitokea tena hiyo hali kwa mwanaume niliyempenda sana aliponipa siri yake aliyonificha kipindi kirefu kwa kuogopa kunipoteza..!! 😭😭
Nilimuacha huku nampenda na sijawahi kutamani kuingia kwenye mapenzi tena..!!
Hii ipo sana kuanzia ngazi ya familia, marafiki, kwenye koo na kitaifa. Hizi ni rohombaya.Mkuu wabongo wanaongoza dunia kwa sadism, tunafurahia sana kuona wengine wanaumia, tunashehekea kabisa, na kuua ndoto za wengine kwa namna zote, kimwili na kiroho!
mkuu kweli ulisota aseeMkuu move on usiendelee kuweka akili sehemu hauhitajiki.... Dunia hii haina huruma na watu sio wema....
Back then around 2017 nilikua na kazi fresh tu akaja jamaa ambaye ni contractor mwingine ambaye tunafanya kazi sawa wakani approach wakapandisha dau. Nilipiga hesabu na nilipo mishahara ilikua ni mpaka miezi 3 ndio unalipwa nikasepa.
Nikasaini contract wakaniwekea kipengele cha probation 3 month. Nikachapa kazi kwa uaminifu mkubwa kumbe wadau hawapendi. Imefika mwisho wa probation nashangaa nakuwa terminated.
Ingawa nilipigwa na butwaa ila sikuuliza sababu wala sikulalamika ila baadaye ndio nikaambiwa wana walipiga dili wakasingizia kwa boss ni wewe na mia sikula wala kujua hiyo dili.
Nikala buyu nikasepa nilikula msoto 2017-2019 hatari sana. Plus wakati nipo home dogo mmoja akapindua gari yangu ikawa right off halafu sina bima kubwa (story ya siku nyingine nilitokaje hapa)......
Nilifikia kipindi sina mia mtoto yupo shule yani nilikuwa namkopa mpaka housegirl wetu, mama watoto alikua akipata buku 10 ananisukumizia nikapate jibapa nitoe mawazo.
Niliuza mpaka mihogo kudadeki ila ile ya kishua buku buku na mishikaki.
Ila niliapa wale jamaa sitafanya nao kazi tena hata iwaje. And karma is a good bitch anakulipa kadri ya matendo yako. Ile kampuni walifitiana tena mpaka ikaja kufa after only 2 years toka wanifitini...
Back to me 2020 nikaamua kubadili fani ya engineering nikahama field na kuingia field nyingine ya engineering on the same sector nikachapa cv upya nikapata dili temporary nilikula msoto pale mwanzo nilikuwa napiga msuli usiku asubuhi naingia job wanaona expert si ndio huyu. Kumbe msuli usiku asubuhi kazini baadae nikapelekwa field nikanyoosha project. Nilifanya miezi mitatu mkataba ukaisha.
Nikaapply kazi kwingine nikapata nmekaa pale mwezi mmoja naona mapicha tu naingia ofsini sipewi kazi nashangaa tu mwezi wa kwanza umeisha sioni mshahara. Wa pili hola naambiwa sijui mifumo sijui nini. Nikawaambia sikilizeni mi ngoja nirudi kitaa. Kumbe nilivyoajiriwa kuna boss alikua na mtu wake anataka amweke nafasi yangu. Akawa aapprove mishahara yangu. Nilivyosepa tu mtu akawekwa pale.
Nikasota miezi kama miwili boss mmoja pale akaniita akanipa dili la nje... From there the rest ikawa history.... Nikaanza upya nikachapa kazi mpaka yule mshua aliyenichomoa akaona noma.
Kilichoendelea yule boss akaja kugombana na share holder wenzake wakagawanya kampuni ile kampuni yake ikawa hoe hae. Ile niliyobaki tunadunda mpaka sasa na kuna vihaki haki nikapewa pale viasilimia flani nasukuma gurudumu level za juu....
So mangi achana na kusikitika kaza moyo songa mbele haya ndio maisha duniani hatujaja kutia huruma ni kukaza nginja nginja....
Ukikata tamaa na kutia huruma kuna fala ni advantage kwake..
Ukijiua ni kumpa funza chakula cha bure. Tunakomaa hapa hapa duniani.
Mimi ukinitendea ubaya naachana na wewe sihangaiki sikusumbui nasonga yatakayokupata ni kadri ya matendo yako.
Kuna demu nilimpenda 2007 huko fala yule kuna siku ananitumia message kuwa hanipendi after 3 yrs ni alikua anapretend... nikateseka ila siku niliamka nikaenda baharini nikapiga ukunga na kelele pale mpaka stress zangu zikaisha nikaapa kwa majina yote. Yule mpuuzi mpaka leo haolewi wala hazai. Mwaka jana ananitafuta nmsamehe aendelee na maisha yake after fucken 18yrs....
Ngoja nisikumbuke haya mambo.
Mtu unapitia kukosa Hela ya kula solution unaona ni kulia sioKulia ni njia nzuri sana ya kupunguza uchungu wa ndani kabisa, kama umejaliwa kulia unapokutana nyakati ngumu, tafuta faragha lia kadri unavyo weza.
Kuna faraja kubwa sana baada ya kulia.
Vinginevyo pole sana, juwa tu kama kulivyo pambazuka jana na kuka kuchwa ndivyo nyakati ngumu zinavyo pita, haidumu hio hali.
Ombi langu uvuke salama bila majeraha.
AiPole sana sana Joanah kwa yote uliyopitia. Kupoteza kazi ya ndoto yako kwa figisu na uongo ni jambo gumu sana, linavunja moyo na kukuacha na maswali mengi. Na pia kupoteza mama ni maumivu makali mno, na kupitia machungu ya mahusiano pia kunaacha kovu. Ni kweli, inachukua muda mrefu sana kupona kutoka kwenye majeraha kama haya, hasa pale akili inapokumbuka.
Mbaga Jr, nakuelewa kabisa unavyosema ni ngumu kupona wakati unazungukwa na mazingira yanayokukumbusha maumivu. Hiyo inafanya safari ya uponyaji iwe ndefu na yenye changamoto zaidi.
Lakini ninyi wote wawili, na wengine wote tunaopitia nyakati ngumu, msikate tamaa. Maisha yanaweza kuwa magumu sana wakati mwingine, lakini ndani yetu tuna nguvu kubwa ya kusimama tena. Chukua muda wako kupona, jipe nafasi ya kuhisi maumivu, lakini usikubali yakutawale kabisa. Hatua ndogo ndogo za kujiweka sawa zinahesabika. Na kumbuka, haupo peke yako kwenye hili, wengi wetu tumepitia au tunapitia changamoto kama hizi.
Tukumbushane tu, baada ya mvua, jua huchomoza tena. Msiache kutafuta mambo yanayowapa furaha na amani, hata kama ni madogo kiasi gani.
Nimeongea naye na pia nimeongea na mpenzi wake na hata namba ya mpenzi Wake ninayoinauma sana kk kutokana na usaliti aliofanya kama vile nakuona vile ukimtazama hakuna jema kwake unaliona unawaza usaliti aliofanya
jeee ushawahi kumuweka mtu kati na kuliongelea ilo swala maana kama haujaongea nae itaendelea kukula ndani kwa ndani
Asante mkuu tupo dunianiPole ninja..
Ukiweza piga chini.. mbaya sana kuishi na dukuduku, ni sumu hiyo inskutafuna kimya kimya..
Utakufa na kihoro, kisha mwenzio ataenda kuolewa tena, wakati we maiti kisa yeye
Bora umuache, afanye yako, we moyo upone nawe ufanye yako
Enjoy maisha..Asante mkuu tupo duniani
Sahihi mkuu, haya niliyajua baada ya kukua..Asee no one knows their destiny
Nilitaka niijue hiyo mishe ya kuingiza 100k?Sahihi mkuu, haya niliyajua baada ya kukua..
Mara ya kwanza nilikuwa mie najiona emgineer tu..
Huwezi amini leo wale ambao nilikuwa nawafundisha, nawasaidia wengi ni mainjinia mie naishi maisha mengine kabisa... 🤣😂
Amka, maisha hayajaishia hapo mwamba.Kumbe Jimbo lipo wazi naomba kutangaza nia rasmi.
Ila kunatabia mbili sizipendi ni makelele na ujuaji kama unazo niambie nipite mbalii 😊
NB. Mpaka muda huu naandika nipo kitandani hapa nimejilaza nimetoka kumzika baba two week zilizo pita.
Simu zangu Zina missed call zaidi 200 sipokei simu sina hamu na kazii nimepoteza furaha ya Kila kitu nilicho kipambania maishani
Leo asubuh tulikua na kikao na wapangajii maana mzee ana nyumba nyingi...
Tunajadili na wapangajii CHANGAMOTO zao na uendeshaji mpya nimetoka MACHOZI hata hapa natokwa na machozii siamini kama baba hayupo
For sure maisha yana maumivuu sio mchezooo ila najua with time every things will be okay
Utanisaka kando mzee...Nilitaka niijue hiyo mishe ya kuingiza 100k?
Haina kwere..Utanisaka kando mzee...