RESILIENT KATO
JF-Expert Member
- Aug 21, 2024
- 4,504
- 8,842
NajitafutaNguvu ya kuanza upya!
Hope all is well kwa sasa
NajitafutaNguvu ya kuanza upya!
Hope all is well kwa sasa
Hahaha, and you are still not pregnant even after life f.cking you up sometimes...
😊😊😊😄😄😁😁😁Hahaha, and you are still not pregnant even after life f.cking you up sometimes...
Life is a bi.tch... and death is her cousin...
ndio kitu napitia bado siamini lakini kwa comment yako nimepata nguvuHivi nani alishawahi kumpenda mtu then by one way or another isiwe meant to be?
Guys, Mwaka juzi nilipitia Maumivu makali saana, it was the most excruciating pain I ever had..
Nilipata dark night of the soul(yaani unakuwa kama mzoga unao tembea) nafsi inakosa mwanga kabisa, nothing feels exciting)
I never knew I was weak, nililia kama mtoto, nilimtumia message ka essay, nikawaambia watu wa karibu, mpk nikaja na uzi humu..
Hapo ndo nilipo funzwa ya kuwa, mapenzi ni usenge mambo ya hopeless romantics ni kuwaachia wazungu tu..
Healing, ilitokea pale nilipo amka siku moja na kugundua kuwa ukipenda bila return unakuwa mtumwa...
Niliacha, kumwaza ghafla nikaanza kufocus na kufurahia maisha ya kila siku, bila expectations za kupata mtu ka yeye..
Well, that's when nikakutana na mrembo mwingine, aliyenipenda ila sikutarajia kama tungeenda popote, we still together (long distance) ila ndo hivyo ile break up ndo imesababisha nimekuwa imara.
Cc meghan markle
We ni KE au ME?ndio kitu napitia bado siamini lakini kwa comment yako nimepata nguvu
KeWe ni KE au ME?
Ok, ko jamaa ulioza kwake sio? For how long
kwa mwaka Dah basi tu 🙌Ok, ko jamaa ulioza kwake sio? For how long
Bado unamtaka?kwa mwaka Dah basi tu 🙌
ndio kwanza ni wiki 3 tu zimeisha hilo swali sizani kama naweza kujibu kwa usahihi maana nilijimaliza kwake nafunguka kila kitu namuona kama bega la kuegemiaBado unamtaka?
Pole sana, utamsahau tu. Kwa hiyo huwa unajimaliza alf jamaa anakuona zombie😂 sio?ndio kwanza ni wiki 3 tu zimeisha hilo swali sizani kama naweza kujibu kwa usahihi maana nilijimaliza kwake nafunguka kila kitu namuona kama bega la kuegemia
nahisi ni hivyoPole sana, utamsahau tu. Kwa hiyo huwa unajimaliza alf jamaa anakuona zombie😂 sio?
Kama hakuna mrejesho wowote kutoka kwake inabidi uache, usimpigie wala kumtafuta. Anza kujipenda wewe kwanza, tafuta marafiki wa zamani Anza upyanahisi ni hivyo
sawa nashukuru sanaKama hakuna mrejesho wowote kutoka kwake inabidi uache, usimpigie wala kumtafuta. Anza kujipenda wewe kwanza, tafuta marafiki wa zamani Anza upya