Umeshawahi kukata tamaa ya maisha? Ipi ilikuwa sababu

Umeshawahi kukata tamaa ya maisha? Ipi ilikuwa sababu

baada ya kupoteza kaz mambo kwang yamekuwa magumu.kila nnacho gusa hakisong nlikuwa na mradi wa kuku mia 2 ila kwa bahati mbaya wakafa wote nimebakiwa na banda tu.

hata mbuz wangu nliokuwa nao kwet nyumban nilipigwa simu kuwa wameibwa wote.majukumu kwang n ming na mm ndiyo mtoto wa pekee nyumban kwet.baba na mama wananiangalia wote.

kwang kila jambo nkigusa hakiend kuna wakat hata nataman hata nsingekuwep dunian.bora hata nife nikapumzike zang kaburin.

dunia imekuwa katil sana kwangu na his kuchoka sijui kwa nn sif.japo najipa nguv lakin kun wakat nguvu zinaniishia
KAZA JOMBAA, WEWE NI SHUJAA
 
Nilipoteza mradi wa pesa nyingi kwa fitina za wabongo nikatembea ughaibuni na nikaondoka na deni la zaidi ya 2.8B za madafu linazunguka tu kichwani kwngu, nikarudi umasikinini tu kule kwa baba yangu na babu zake, japo narudi taratibu na uzee ushafika!
UTAINUKA TENA UZEE SIO HABARI, KUNA WATU WANA MIAKA 35 NI VIKONGWENA WENGINE WANA MIAKA 75 NI VIJANA. STRONG SPICIE SURVIVE
 
Nilikuwa na $1.2M yani nusu yangu na nusu mkopo na nikapoteza yote na zawadi ya kisukari juu! Niliiraise nje na nikarudi bongo kufanya mradi na ukafa
Watz baadhi wakoje kiasi ulichokitaja wapo watu wana umri mdg mkubwa wakati wanamiliki

Ttzo tushazoea kuzungukwa na level zetu hivyo ukisikia tofauti unaduwaa,,

Kwa baadhi ya watu niliokutana nao na kuona baadhi ya taarifa zao niseme kuna watu wana hela

Imagine mtu anakuambia nina shida na dollar kama 10k 15k mpk 50k USD huko ajazie afanye transaction sisi huku sasa tunawaza p kupata 3k ukanunue unga

Tupambane wazee sjui tunatokaje maake unaweza pambana na usitoke Ila tusiache ku push na kuwa positive
 
2024 nilipofukuzwa kazi, ilikuwa n sehemu ya ndoto yangu kutokana na nilichosomea, mbaya zaidi niliondolewa kwa kusemewa mambo ya uongo 😭

Mpaka sasa bado siko Sawa kiakili, Hua najaribu kujiweka sawa ila bado ni kitu kinachoniumiza mno
Kumbe ndo maana
 
Nilipompoteza my momy nilihisi dunia imefika mwisho..!! 😥
Nilikua nashinda nalia muda wote hata shule niliona ya uchungu..!

Ilikuja kunitokea tena hiyo hali kwa mwanaume niliyempenda sana aliponipa siri yake aliyonificha kipindi kirefu kwa kuogopa kunipoteza..!! 😭😭

Nilimuacha huku nampenda na sijawahi kutamani kuingia kwenye mapenzi tena..!!
Siri gani alikuficha?
 
Life is bitch one day I die
I trained my mind kukubaliana na kila hali..sina expectations yoyote kwenye jambo lolote lile.
Screenshot_20260623-104317~2.jpg
 
Back
Top Bottom