Hahahaha bwashee kidogo tuu in your voice hizi hizi safar lager umetumia laki mbili 😂🤣Hahahaha mtoto wa dada unakula maji sana🤣
Lager za laki 2 lazima tukuimbie wimbo wa 320 tenzi za rohoni bwasheeHahahaha bwashee kidogo tuu in your voice hizi hizi safar lager umetumia laki mbili 😂🤣
Hahahaha hatare sanaLager za laki 2 lazima tukuimbie wimbo wa 320 tenzi za rohoni bwashee
ilisha juu juu tu maana walitaka wafungue kesi,Kesi iliishaje?
Anko are you alive?Nilipoteza mradi wa pesa nyingi kwa fitina za wabongo nikatembea ughaibuni na nikaondoka na deni la zaidi ya 2.8B za madafu linazunguka tu kichwani kwngu, nikarudi umasikinini tu kule kwa baba yangu na babu zake, japo narudi taratibu na uzee ushafika!
Fafanua hapa mkuuNikiwa home nasubiri kwenda advance, nilipatwa na jambo lililobadilisha kabisa muenendo was maisha yangu ki ujumla, 😢😢😢
Ilifikia hatua niliona sina umuhimu was kuishi tena, nikaona Elimu haitakua na maana kwangu, sikuona future yoyote mbeleni.
Nilijifunza kuwa natakiwa nisikiamini hata kivuli changu mwenyewee.
Ashukuriwe Mommy, alisimama na mie na kunijenga, hadi hapa nilipofika.
Ila Binadamu!! ðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜
Nikiwa home nasubiri kwenda advance, nilipatwa na jambo lililobadilisha kabisa muenendo was maisha yangu ki ujumla, 😢😢😢
Ilifikia hatua niliona sina umuhimu was kuishi tena, nikaona Elimu haitakua na maana kwangu, sikuona future yoyote mbeleni.
Nilijifunza kuwa natakiwa nisikiamini hata kivuli changu mwenyewee.
Ashukuriwe Mommy, alisimama na mie na kunijenga, hadi hapa nilipofika.
Ila Binadamu!! ðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜
Mahi ni story ndefu kidogo. Nikitulia nitakuahadithia. Usijari.Hii reply naiona leo
Ulipatwa na nini Coca?
Ndio maana una mahasira hasira kumbe huna kazi2024 nilipofukuzwa kazi, ilikuwa n sehemu ya ndoto yangu kutokana na nilichosomea, mbaya zaidi niliondolewa kwa kusemewa mambo ya uongo ðŸ˜
Mpaka sasa bado siko Sawa kiakili, Hua najaribu kujiweka sawa ila bado ni kitu kinachoniumiza mno
Ndio boss, sina kazi ndo mana hua nakuja pm kwako kuomba pesa ya kula.Ndio maana una mahasira hasira kumbe huna kazi
Weka nambaNdio boss, sina kazi ndo mana hua nakuja pm kwako kuomba pesa ya kula.
Naomba nisaidie hata 5k nipate msosi plz ðŸ˜
Nakutumia pm plz bossWeka namba
Nimeanguka mara nyingi sana,changamoto ni kuwa unakuwa huwezi kukata tamaa kutokana na majukumu ambayo unayo na unakuta hata matatizo uliyopitia bado uko hai...as long as hujafa bado una jambo la kufanya duniani.
Zile siku unaamka hujui cha kufanya ni siku za hatari sana,usipojikaza unaweza kupumzika kwa amani moja kwa moja.wakati mwingine imani kuwa nikifa ntakuwa na ya kujibu nnapoenda na sina hayo majibu huwa inasaidia sana.unaamua kukaza tu
Daah! 😢😢😢 Dunia uwanja wa fujo. Pole sana, nini kilikupataNikiwa home nasubiri kwenda advance, nilipatwa na jambo lililobadilisha kabisa muenendo was maisha yangu ki ujumla, 😢😢😢