Umeshawahi kukata tamaa ya maisha? Ipi ilikuwa sababu


Daaah Mpauko jamani! Nadhani huyu member sitakuja kumsahau....kwa nyuzi zake na hata sura yake huwa hainitoki

Alipambana kweli lakini ndio vile tena maisha hakuyaweza
 
Same time maisha kuna vitu vinatokea ili tuweze kujifunza nn maana ya maisha yalivyo kwaiyo siyo kulaumu kila jambo baya linalokuja kwenye maisha yako unamkufulu mungu haipo ivyo tujalibu kujifunza kwenye kila hali iwe happy au hardtime

For real mwaibile
Tukichukulia kila jambo kama funzo nafikiri unafuu wa nafsi ungekuwepo
 
Kabisa Mkuu hakuna kukata tamaa, ilikuwa Ijumaa ya tarehe 13/11/2015 na sio 14 nili mistake mkuu.
 
Nilitumia milioni 8 kutibu tatizo lililonikosesha ajira na ujuzi ninao lakini matokeo yake tatizo liliendelea kuwepo hadi sasa najiuliza kwanini nisingewekeza pesa kwenye biashara nikiwaza kuajiriwa tu ningekuwa mbali sana
 
Ndio huyo Zinn
Aendelee kupumzika kwa amani
Dah, niliona nyuzi zake mwaka jana, nikataka nimtafute nimpeleke kwa psychologist ikiwezekana kwa gharama zangu, kumbe alikuja kujiua zamani, nilisikitika sana kwakweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…