Umeshawahi kumla shemeji yako?

Okay yeye ndio kammwaga jamaa amezaa njee demu kasusa afu pesa anayo hapa kwenyewe nna laki 3 yake
 
Haha na mpima kabisa maana napenda kula nyama kwa nyama
Best mie mchepuko wangu ukisanukiwa na sababu kubwa .
1. Kazaa nje huyu jamaa
2.Anamla shemeji yake
3. Anawatoto na mke wa kwanza tayari na mimi namsaidia kulea na wananipenda kama nini.
4.Kashakuwa na uzito wa kuoa tena tutasemehana tu kila mtu anaendelea na wake kama kawa .
5. Hawezi niacha tu najua hiloooo kabisaa .
Kwa sababu nyingi.

Tutacheza nje ila safe.
 
Duh hapo umejipanga
 
Duh hapo umejipanga
Sana mimi ninafanyaga kitu clean yaanj hatutosumbuana.
Wala sintamsemesha kabisaa ni mtu mzima sana.
So akianza maneno nitanyamaza tu.
Ila akikaa kwenye haki kwamba mimi ni mmbaya nitamwonyesha mesage za mke wa rafiki yake tena chafu .
Napia huyu aliyezaa naye na ninaushahidi mwingi sana.
 
Mkuu hyo yako CHA MTOTO...Mimi nilishamla MAMA MKWE WNGU....ni mtamu hatari...
Naomba simulizi maana rafiki yangu kaliwa na mkwe wake hadi sasa wapo wote na mkwe amemnunulia gari na kamjengea bonge la mansion na mtoto mmoja walizaa naye nanikijana .

Kuna vitu vinatisha sana huyo mimi ndio naomba isiwahi kunitokea kwanza baba mkwe amezeeka hadi kukaa shida nashukuru kwa hilo kwa maana hiyo ni kero sana kuna mahali unaolewa mama mkwe kaungua kichwa na mashemeji na pia wala sishangai angalia usimpe mimba
 
Mkuu,,,nishatoa simulizi hapo,,,naomba fuatilia Uzi, tangu mwanzo..Mkwe alinitega na mm nikatema venom,,mwisho wa siku nachezea shanga zake,,,halafu wivu sasa,,kama mwanae ni mke mwenzie...
 
Mkuu,,,nishatoa simulizi hapo,,,naomba fuatilia Uzi, tangu mwanzo..Mkwe alinitega na mm nikatema venom,,mwisho wa siku nachezea shanga zake,,,halafu wivu sasa,,kama mwanae ni mke mwenzie...
Allah!πŸ™„πŸ™„πŸ˜³πŸ˜³ hii kali
 
[emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji40][emoji40][emoji40][emoji40]
 
Huyu mkubwa aliona show ya shemeji take Ni mbovu akajua mdogo mtu atamganda mumewe[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna jamaa Dodoma miaka hiyo alikula mama na binti zake wawili.
Hivi Waswanu Bar bado ipo!?
 
Reactions: y-n
Binadamu tuna madhambi makubwa msinihukumu

Katika harakati za ujana kuna sehemu binadamu tunakosea, kutenda kosa sio dhambi ila kurudia kosa ndo dhambi.

Mimi najutia kulala na mke wa kaka yangu. Kaka yangu ananizidi miaka 30, ana wanawake watatu, mke wa mwisho ndo nililala nae, wote tulikuwa under 20 kipindi hicho. Siku hio kaka yangu alisafiri, tulikuwa tunaangalia movie na shemeji hadi saa nane usiku,karibia wiki nzima, tukaanzisha mazoea ambayo yalipelekea kushikana, nikashitukia shetani amenipitia nikamla. Sikurudia kosa langu, siku ya pili niliamua kuhama kabisa, ni miaka 10 sasa imepita, ila bado najutia kosa langu, ujana maji ya moto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…