Umeshawahi kumla shemeji yako?

Umeshawahi kumla shemeji yako?

"Mie mume wangu ni mrefu mie mfupi" umenitouch sana , . Sasa kaachwa hiyo ni nuksi .
Watu wanashushiana shida kihivi.
Unamtu yuko na mkeo wewe uko na mkewe au wewe uko na mke wa mtu mwelewa maana wote sio wote wanajitambua .

Kama mimi nikiunguza picha tunatwistiana tu mie kwa shemeji yeye anabaki na wifi kwisha na shem ndio anahela mbaya .

Nuksi hiyo tafuta baraka ndio raha.
Mtu ambaye yuko na mauhusiano.
Okay yeye ndio kammwaga jamaa amezaa njee demu kasusa afu pesa anayo hapa kwenyewe nna laki 3 yake
 
Haha na mpima kabisa maana napenda kula nyama kwa nyama
Best mie mchepuko wangu ukisanukiwa na sababu kubwa .
1. Kazaa nje huyu jamaa
2.Anamla shemeji yake
3. Anawatoto na mke wa kwanza tayari na mimi namsaidia kulea na wananipenda kama nini.
4.Kashakuwa na uzito wa kuoa tena tutasemehana tu kila mtu anaendelea na wake kama kawa .
5. Hawezi niacha tu najua hiloooo kabisaa .
Kwa sababu nyingi.

Tutacheza nje ila safe.
 
Best mie mchepuko wangu ukisanukiwa na sababu kubwa .
1. Kazaa nje huyu jamaa
2.Anamla shemeji yake
3. Anawatoto na mke wa kwanza tayari na mimi namsaidia kulea na wananipenda kama nini.
4.Kashakuwa na uzito wa kuoa tena tutasemehana tu kila mtu anaendelea na wake kama kawa .
5. Hawezi niacha tu najua hiloooo kabisaa .
Kwa sababu nyingi.

Tutacheza nje ila safe.
Duh hapo umejipanga
 
Duh hapo umejipanga
Sana mimi ninafanyaga kitu clean yaanj hatutosumbuana.
Wala sintamsemesha kabisaa ni mtu mzima sana.
So akianza maneno nitanyamaza tu.
Ila akikaa kwenye haki kwamba mimi ni mmbaya nitamwonyesha mesage za mke wa rafiki yake tena chafu .
Napia huyu aliyezaa naye na ninaushahidi mwingi sana.
 
Mkuu hyo yako CHA MTOTO...Mimi nilishamla MAMA MKWE WNGU....ni mtamu hatari...
Naomba simulizi maana rafiki yangu kaliwa na mkwe wake hadi sasa wapo wote na mkwe amemnunulia gari na kamjengea bonge la mansion na mtoto mmoja walizaa naye nanikijana .

Kuna vitu vinatisha sana huyo mimi ndio naomba isiwahi kunitokea kwanza baba mkwe amezeeka hadi kukaa shida nashukuru kwa hilo kwa maana hiyo ni kero sana kuna mahali unaolewa mama mkwe kaungua kichwa na mashemeji na pia wala sishangai angalia usimpe mimba
 
Naomba simulizi maana rafiki yangu kaliwa na mkwe wake hadi sasa wapo wote na mkwe amemnunulia gari na kamjengea bonge la mansion na mtoto mmoja walizaa naye nanikijana .

Kuna vitu vinatisha sana huyo mimi ndio naomba isiwahi kunitokea kwanza baba mkwe amezeeka hadi kukaa shida nashukuru kwa hilo kwa maana hiyo ni kero sana kuna mahali unaolewa mama mkwe kaungua kichwa na mashemeji na pia wala sishangai angalia usimpe mimba
Mkuu,,,nishatoa simulizi hapo,,,naomba fuatilia Uzi, tangu mwanzo..Mkwe alinitega na mm nikatema venom,,mwisho wa siku nachezea shanga zake,,,halafu wivu sasa,,kama mwanae ni mke mwenzie...
 
Dah..!
Haya wale mliowahi kuishi na wadogo zenu mkuje haraka muone madogo wanavyojilia wake zenu mkiwa safari [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mie siwezi kufuga kidume nyumbani kwangu bora niishi na mbwa
maana hawa vijana wa vyuoni akiacha kukutombea mke basi atafira watoto wako wa kiume


Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji40][emoji40][emoji40][emoji40]
 
Collage mate wangu wa discussion(Mdada) wakati tunasoma aliwahi kunisimulia kuwa kuna hadithi nyingine huwa kuzisimulia kwake mara baada ya kutokea ni nadra sana. Akanambia kuwa yeye na dadake wa kuzaliwa wameolewa, na familia zao ni kama family friends na familia za waume zao. Kila misimu ya sikukuu huwa wanaalikana kwa zamu kwenda kusherekea sikukuu kwenye moja ya nyumba ya mwenzao. Na baadae usiku huwa wanamalizia na outing matata, baba na mama kwa familia zote mbili kwenda kwenye hotel za fukwe kufurahia music na maisha.

Tabia hiyo ilijengeka kwa muda, na licha ya kufahamiana sana pia walipata kuzoeana mno. Yaaani dada wawili kwa kuzaliwa na waume zao. Siku moja mkesha wa mwaka mpya, baada ya pilikapilika za kufurahia kuufunga mwaka mchana, ilipowadia usiku Dec 31, walipata kwenda out wakiwa kama couples kwenda kuufunga mwaka kama waswahili wasemavyo. Walifika kwenye hotel moja nzuri kwenye fukwe za jiji la Dar na walipanga kuwa wangelala huko hadi January Mosi.

Wakati wakifurahia kuuona mwaka mpya usiku wa Manane, walijikuta wamekunywa kiasi kingi cha WINE huku wakicheza muziki mlaini kwenye ukumbi wa hotel ile huku wakiwa wamebadilishana mtu na shemejiye huku wakiwa wanacheza kwa kujiachia bila ya woga na wasiwasi wowote.

Ilipotimu mida ya saa tisa usiku, waliamua kwenda kujipumzisha kwenye vyumba vyao.

Cha ajabu, walishtuka asubuhi na kujikuta kila mmoja akiwa amelala na mume wa Mwenzie.
Sasa swali linakuja: je ni wote walifanikiwa kugegedana wakati wakiwa wamelewa? Je! Aliyefanya ku-spare ili agegede asubuhi, angeweza kuwa na hiyo nguvu ya kufanya hivyo baaada ya kubaini kuwa aliyelala naye ni shemeji yake?

Alichoniambia huyu college mate wangu,
Kuna baadhi ya Story zinapoanzia, basi ndio hapo hapo mwisho wake. Hutoweza kuzisikia au kusimulia kwingine[emoji23][emoji1787]

Nilipomdadisi kama bado mahusiano ya kifamilia yapo kama hapo awali, alikubali kuwa bado yapo, ila outing hawakuwahi kwenda tena, na hakuna mtu aliyewahi kumuuliza mwenzie ilikuwaje hadi hali ile ikatokea. Ila Dada wa mdogo mtu, alimpa vitisho mdogo wake, kuwa iwe ni mwanzo na Mwisho kama ile siku walipeana utamu. [emoji1787][emoji23]

Dunia ina Mengi hatari.




Sent using [Iphone XS Max]
Huyu mkubwa aliona show ya shemeji take Ni mbovu akajua mdogo mtu atamganda mumewe[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna jamaa Dodoma miaka hiyo alikula mama na binti zake wawili.
Hivi Waswanu Bar bado ipo!?
 
  • Thanks
Reactions: y-n
Binadamu tuna madhambi makubwa msinihukumu

Katika harakati za ujana kuna sehemu binadamu tunakosea, kutenda kosa sio dhambi ila kurudia kosa ndo dhambi.

Mimi najutia kulala na mke wa kaka yangu. Kaka yangu ananizidi miaka 30, ana wanawake watatu, mke wa mwisho ndo nililala nae, wote tulikuwa under 20 kipindi hicho. Siku hio kaka yangu alisafiri, tulikuwa tunaangalia movie na shemeji hadi saa nane usiku,karibia wiki nzima, tukaanzisha mazoea ambayo yalipelekea kushikana, nikashitukia shetani amenipitia nikamla. Sikurudia kosa langu, siku ya pili niliamua kuhama kabisa, ni miaka 10 sasa imepita, ila bado najutia kosa langu, ujana maji ya moto.
 
Back
Top Bottom