Collage mate wangu wa discussion(Mdada) wakati tunasoma aliwahi kunisimulia kuwa kuna hadithi nyingine huwa kuzisimulia kwake mara baada ya kutokea ni nadra sana. Akanambia kuwa yeye na dadake wa kuzaliwa wameolewa, na familia zao ni kama family friends na familia za waume zao. Kila misimu ya sikukuu huwa wanaalikana kwa zamu kwenda kusherekea sikukuu kwenye moja ya nyumba ya mwenzao. Na baadae usiku huwa wanamalizia na outing matata, baba na mama kwa familia zote mbili kwenda kwenye hotel za fukwe kufurahia music na maisha.
Tabia hiyo ilijengeka kwa muda, na licha ya kufahamiana sana pia walipata kuzoeana mno. Yaaani dada wawili kwa kuzaliwa na waume zao. Siku moja mkesha wa mwaka mpya, baada ya pilikapilika za kufurahia kuufunga mwaka mchana, ilipowadia usiku Dec 31, walipata kwenda out wakiwa kama couples kwenda kuufunga mwaka kama waswahili wasemavyo. Walifika kwenye hotel moja nzuri kwenye fukwe za jiji la Dar na walipanga kuwa wangelala huko hadi January Mosi.
Wakati wakifurahia kuuona mwaka mpya usiku wa Manane, walijikuta wamekunywa kiasi kingi cha WINE huku wakicheza muziki mlaini kwenye ukumbi wa hotel ile huku wakiwa wamebadilishana mtu na shemejiye huku wakiwa wanacheza kwa kujiachia bila ya woga na wasiwasi wowote.
Ilipotimu mida ya saa tisa usiku, waliamua kwenda kujipumzisha kwenye vyumba vyao.
Cha ajabu, walishtuka asubuhi na kujikuta kila mmoja akiwa amelala na mume wa Mwenzie.
Sasa swali linakuja: je ni wote walifanikiwa kugegedana wakati wakiwa wamelewa? Je! Aliyefanya ku-spare ili agegede asubuhi, angeweza kuwa na hiyo nguvu ya kufanya hivyo baaada ya kubaini kuwa aliyelala naye ni shemeji yake?
Alichoniambia huyu college mate wangu,
Kuna baadhi ya Story zinapoanzia, basi ndio hapo hapo mwisho wake. Hutoweza kuzisikia au kusimulia kwingine[emoji23][emoji1787]
Nilipomdadisi kama bado mahusiano ya kifamilia yapo kama hapo awali, alikubali kuwa bado yapo, ila outing hawakuwahi kwenda tena, na hakuna mtu aliyewahi kumuuliza mwenzie ilikuwaje hadi hali ile ikatokea. Ila Dada wa mdogo mtu, alimpa vitisho mdogo wake, kuwa iwe ni mwanzo na Mwisho kama ile siku walipeana utamu. [emoji1787][emoji23]
Dunia ina Mengi hatari.
Sent using [Iphone XS Max]