Umeshawahi kupiga One katika levo yoyote ya elimu? Tukutane hapa

Kuna kajinga kamoja kamesema ni chai!..
Hebu pata picha mtu kwa siku anakusanya misamaki zaidi ya kilo 2000 ni mwenzako huyu? Yaan kisiwa chote mitumbwi ni yake...jion analetewa tu samak anahesabu tu kilos...kuna watu wana hela nyie cheni tu hata haka kadogo ni kachafuuuuuu..kana kiduku ila ndo kana hela balaa
 
Natambua kusoma sana ni.raha mkuu..lakini kwa nchi zetu hizi za uchumi wakati wa juu mateso tupu...!
Nataman nikupe mifano sema iko hai sana..haitakuwa ustaarabu!
 
Mie kuna mtu namjua ana Phd nw...ila ana maisha ya hovyo bodaboda ana uafadhari...!nadhan wasomi wetu kuna sehemu wanakosea
Anyway, mimi sikatishi tamaa mtu yeyote kusoma.

Unajua maisha yako 'in stages'.

Ukiwa katika umri wa kusoma hasa huko chini, soma. But ukifika kuanzia ngazi ya chuo unatakiwa kutumia akili, unasoma mpaka lini na unasoma nini?

Usisome tu ilimradi sifa, mtaani wanakuona unaenda chuo.
 
kuna mmoja ni daktari bingwa yuko hovyo yaani anakula rushwa mpaka ya buku
Huyo atakuwa na addiction ya kipuuzi inamuendesha. Kwa taaluma aliyo nayo alitakiwa kuwa middle class automatically.
 
Uoga na ujuaji mwingi unawaponza wenye elimu.

Ila wasio soma hawana options kama waliosoma.
 
Ingekuwa vyema ukamuachisha mwanao shule aende ziwani akawe sawa na huyo jamaa.
 
Ila kama una nia baadaye ya kuja kuwa na biashara ni bora ukomae usome...! Mie ss hv nahangaika na financial literacy..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…