Umeshawahi kupiga One katika levo yoyote ya elimu? Tukutane hapa

Hahahah
 
Ila kama una nia baadaye ya kuja kuwa na biashara ni bora ukomae usome...! Mie ss hv nahangaika na financial literacy..!
Just employ your weakness.

Hata ukisoma, huwezi kusoma kila kitu. Hata Bakheresa kaajiri wasomi wafanye kazi ambazo yeye haziwezi.

Nashauri, Kusoma ukiwa huna kipato cha uhakika ( ajira ) mwisho iwe Bachelor Degree.

Ukisoma zaidi ya hapo na huna kipato, unajitia uwoga wa maisha na asilimia kubwa maisha yatakushinda utabaki na aibu.
 
Daàh noma mkuu
 
Wengine hata hatuongelei mambo ya matokeo yetu ya shule, maana kwa kweli kitaa huku it doesn't matter kabisa. Kuna watu wanatengeneza hela hadi aibu, na hawajawahi kwenda shule beyond std 7.
Siku moja nilikua napiga story na vijana fulani wafanyabisahara, story zao wanaongelea mikopo ya 100m, 200m....!! Nikawa nawaza moyoni aibu sana, vijana wale wote ni std 7 leavers; Ilibidi niage fasta fasta.
Coming to think of it, naona kama wengine tulipoteza sana muda mashuleni huko tukiaminishwa kuwa sisi ni ma genius na vipanga kweli kweli.
Ila ndo maisha.
 
Maji ukiyavulia nguo huna budi kuyaoga mkuu!
Ndo maisha kwakweli
 
[emoji23][emoji23][emoji23] itapendeza zaidi
 
Hahah, kwann hayakubali mkuu anahisi ulipata fake nn? [emoji23][emoji23]
Hua anaamini kua nilitakiwa kupata zaidi ya hapo,alikua anajua mie ni kichwa sana,so matokeo yalivyotoka akaniomba namba ya mtihani ili akaaniangalizie ofisini kwake,wakati huo kashawaandaa wafanyakazi wenzie(bi mkubwa ni mtu wa kupenda sana sifa),yeye alijua ni point 7 kama nimefail sana basi iwe hata 8 basi.......... ila hakuamini alichokutana nacho,alilalamika miaka 5 yote
 
Hahaha, mziki wa Projectile ulinitoa kamasi
 
Watu badonwnafanya forex wakati hata nguli wao Ontario naona kaacha sioni tena akiizungumzia. Kamali mbaya sana😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…