Nilifeli o level nikapata PhD ya maisha ......SASA hivi Nina biashara zangu na nyumba tatu..........nyie mliokuwa mnachukua zawadi shuleni mko wapi??Kama uzi unavyojielezea,
Personally nilibahatika olevo mitihani ya CSEE, 2007View attachment 1794195
Unapewa 80% ya mshahara wa mwajiriwa, ambao hauna tofauti na take home ya huyohuyo mwajiriwaLakini mishahara ya internship ( haina makato ) sidhani kama ina tofauti kubwa na mishahara ya ajira iliyojaa makato.
Ajira za serikali kuu hazina maajabu sana.
Kwani tunashindana mzeeπ€£Nilifeli o level nikapata PhD ya maisha ......SASA hivi Nina biashara zangu na nyumba tatu..........nyie mliokuwa mnachukua zawadi shuleni mko wapi??
Hongera asee ...kiswahili [emoji119]Mungu mkubwa Sana nilipata one Olevel.....Somo la kiswahili lilikua gumu sana, tuliomaliza 2009 wanajua, nilinosha kiswahili A ya kibabe sana.Somo la kiswahili nilikua wa 9 kitaifa,,nilipokea barua ya pongezi toka wizarani, nimeijengea sanamu geto.View attachment 1794604
mkuu umenichekesha sana kunywa mirinda nyeusi hapo da kwi kwi kwi kwi kwi mi nilibahatisha nikiwa form six ila mpaka leo sielewi ulitokea muujiza gani nikapata 1 manake nilikua sisomi kiivyo kwanza sijawai kukesha 2008 iyoO-level, nikapelekwa vipaji PCB,
Kwa mara ya kwanza nilijuta kufaulu kwa shughuli niliyokutana nayo kule.
Matokeo nayo yalivyotoka......ππππ.
Sitaki mazoea humu.
Anyway
Nasajili laini kwa alama za vidole,
Naunganisha Line za chuo,
Narudisha line zilizopotea,
Naweka liquid protector
Nabadilisha ringtones,
Nasafisha nyota,
Si ndio hapo?Kwani tunashindana mzee[emoji1787]
Sure..unabaki kuwa REFERENCE mtaa mzima...utaskia "kusoma utasoma wewe!Kasoma Fulani na alipata div 1 Sahv yuko tu tunaishi nae Kitaani"Kupata division one halaf unapigika kitaa ni ujinga
Safi mkuu, namna hiiHuwa sijutii kabisa maisha ya shule nikiangalia cheti changu,, japokuwa hainisaidii kiviile huku kitaa
View attachment 1796088
Hata nyumba ya tembe ni nyumba. Kwangu mimi mtu akisema nyumba ni ya kuanzia iliyotumia gharama ya milioni 70 na kuendelea. Chini ya hapo bora kukaa kimya.Nilifeli o level nikapata PhD ya maisha ......SASA hivi Nina biashara zangu na nyumba tatu..........nyie mliokuwa mnachukua zawadi shuleni mko wapi??
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£O-level, nikapelekwa vipaji PCB,
Kwa mara ya kwanza nilijuta kufaulu kwa shughuli niliyokutana nayo kule.
Matokeo nayo yalivyotoka......ππππ.
Sitaki mazoea humu.
Anyway
Nasajili laini kwa alama za vidole,
Naunganisha Line za chuo,
Narudisha line zilizopotea,
Naweka liquid protector
Nabadilisha ringtones,
Nasafisha nyota,
You make alot of sense.Just employ your weakness.
Hata ukisoma, huwezi kusoma kila kitu. Hata Bakheresa kaajiri wasomi wafanye kazi ambazo yeye haziwezi.
Nashauri, Kusoma ukiwa huna kipato cha uhakika ( ajira ) mwisho iwe Bachelor Degree.
Ukisoma zaidi ya hapo na huna kipato, unajitia uwoga wa maisha na asilimia kubwa maisha yatakushinda utabaki na aibu.
Kwakweli katika suala la Elimu amefanikiwa sana kwa watoto wake,mpaka pale mtaani anapata heshima sana coz tuna vihistoria ambavyo havijawahi kutokea mpaka leoSafi kbs kwa mama!safi mnoo...