Umeshawahi kupiga One katika levo yoyote ya elimu? Tukutane hapa

Ameeeeeen.
 
Hapo ni kwa Olevel.

Ila mkoa niliosomea, Pepa ya Mock A ilikuwa inaanzia 85. Jemba zilikuwa zinapiga hizo A kama kawaida
Kwani kipindi hiko Mock exams ilikua haitumii muongozo wa wizara au?
 
Kwakweli katika suala la Elimu amefanikiwa sana kwa watoto wake,mpaka pale mtaani anapata heshima sana coz tuna vihistoria ambavyo havijawahi kutokea mpaka leo
Inatia sana moyo kwa mzazi aise...maana hapo angesemwaa...! Raha mno aise!
 
Kwani kipindi hiko Mock exams ilikua haitumii muongozo wa wizara au?
Mkoa huo ulikiwa na system yake sijui kwa nini, ila niliipenda sana.

Mock nilipoga two, NECTA nikapiga one.

Kwa mantinki hiyo nilikuwa nasema endapo nikipiga two mock ni sawa na one ya NECTA, bahati nzuri huo utabiri ukaja ukawa kweli.

Kipanga wetu alipiga Mock one ya 13, NECTA akapiga one ya 9.
 
Ila mitihani ya Mock huwaga ni migumu San sijui why,
 
Hivi O level kuna 1 ya point 18??????
 
Kama uzi unavyojielezea,
Personally nilibahatika olevo mitihani ya CSEE, 2007View attachment 1794195
Kupiga one so what! Siyo issue. Magenious wote duniani waliovumbua mambo hawakufanya vizuri darasani. Unaweza ukapata one kwa kudesa na yule aliyepata two ikawa ni halali na akawa mkali kuliko wewe!! Tunawapata hao wa one vyuoni mpaka huwa tunashangaa hizi kweli zilikuwa marks zao O level au A level? Kwenye real life hiyo one haitakusaidia chochote.
 
Huu uzi wa vijana…..maana naona vyeti vyote vilivyowasilishwa vimesainia na ndalichako…Sijaona hata kimoja kilichosainiwa na akina Charles Kabeho 👀 👨‍🦯
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…