Umeshawahi kupiga One katika levo yoyote ya elimu? Tukutane hapa

Hahaaa, eti nikarudi ghetto.
 
Nilitoka na C ya phys Advance, wallah nashukuru San, ila mziki wake sita usahau kamwe.
Nina imani hapo ulimeza Nelkon, Roger, University Physics na Chand

Bila kusahau pamphlet kibao
 
Ha ha ha kuna jamaa yangu alipiga pcm alikutana na jamaa yake kapiga hatua vibaya mtaan.. Akaambiwa "we si ulikuwa unatusolvia Physics sasa sisi tunakusolvia maisha" jamaa mpka leo hiyo kauli inatembea akilini mwake japo aliambiwa kiutani!
 
Nina imani hapo ulimeza Nelkon, Roger, University Physics na Chand

Bila kusahau pamphlet kibao
Yaan nikisikia chand, akili inawehuka kabisaah, ila projectile na dimensions jaman siku sir anafundisha nusu nimtukane, akili ilihama haswaaah, yaan chenga tyuuuh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Phys [emoji119][emoji119][emoji119]
 
Ha ha ha kuna jamaa yangu alipiga pcm alikutana na jamaa yake kapiga hatua vibaya mtaan.. Akaambiwa "we si ulikuwa unatusolvia Physics sasa sisi tunakusolvia maisha" jamaa mpka leo hiyo kauli inatembea akilini mwake japo aliambiwa kiutani!
Daahh, life halina huruma kabisa.
 
Yaan nikisikia chand, akili inawehuka kabisaah, ila projectile na dimensions jaman siku sir anafundisha nusu nimtukane, akili ilihama haswaaah, yaan chenga tyuuuh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Phys [emoji119][emoji119][emoji119]
Hahahahaa, mimi Chand nilipata kuipenda sana hasa kwa Conceptual questions, nilizimeza haswa
 
Hapo hapo...na wasomi wana mahesabu meengi...khaa...wasiosoma wanajitosa unawaona wakija ibuka wako mbali
Noma sana. Unakuta mwenzako anaanzisha business anaanzisha biashara ndogo tu anapiga 15 hadi 20 faida kwa siku wewe unaona kama ndogo au kuanza na business mtaji 1m ni mdogo. Umekaa kwenye sofa unawaza kumiliki mansions.
Kuna mwanangu alipiga 1. mimi nikaungaunga sekondari Swaziland, mwaka 2019 tukakuta South Sudan kwenye project.Nikashangaa mimi ndiyo supervisor wake, lakini nakubali kimaarifa ya kikazi amenizidi uwezo na sitashanga anytime akiwa Boss wangu.
Piga fitina mkuu. Nenda hata kwa bibi. Atakuaje bosi kizembezembe.
 
Dah nilipata two aisee ya mwisho mwisho huko mwaka fulanii hivi ambao ni historia aisee mpaka necta ikarudia paper...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…