Umeshawahi kupiga One katika levo yoyote ya elimu? Tukutane hapa

Umeshawahi kupiga One katika levo yoyote ya elimu? Tukutane hapa

Mm nimekutana na dogo ana 23 yrs ana 1b! Ana elimu ya std 4!
Ana utitiri wa mitumbwi ya kuvulia acha kbs .yaan kijiji kizima wanamtegemea yeye! Narudia ana 1b...alinionesha akaunt nikarudi gheto kulala!
Kuna jamaa amesomeaga dit ni kichwa balaa... alikua kampuni fulan.maarufu...nimewah kaa naye kama 8mths migodini akisoma mchezo ajabu yulr jamaa ana maisha ya kimaskini kbs...mm nilikua nikifeli mishe zangu ile nna stress yy ndo alikua ananisovia fasta mambi yananyooka😆😆!
Anakupa idea anakuchorea kila.kitu kwa kitabu anakuambia hebu ifanye utatoka..ila yy kila kitu walaaa...nikaja gundua ni mwathirika wa forex...yaan anahitaji sana maombi...anachoma hela balaa forex...! Haya maisha mm siyaelewagi pia🤣!
Kifupi ushukuru tu kwa kidogo unachopata
Hizi chai jaman muwe mnaweka viungo bas
 
Kiukweli inauma sana washkaji waliokuwa wanapiga mabanda leo hii wengi wanategemea mshahara usiotosha na kuishia kukuomba ushauri biashara gani wafanye. Hizi shule za vipaji zilikuwa na vipanga wasioelezeka na wengi wao kwenda kusoma chuo kikuu. Ila baada ya chuo wengi wamepata kazi sehemu mbalimbali tatizo linakuja kwenye kipato (mshahara)... ni majanga.
 
Ukizoea kufaulu sana siku ukipata usichotarajia hata kama kwa mwingine ni matokeo mazuri, basi huo ndiyo mwanzo wa kupoteza focus.

Wanaofaulu kidogo hutembea na plan B katika kusoma kwao, na wengi familia huwasapoti sana.
 
Msijipe moyo. Waliopiga one wengi wao wana maisha mazuri. Sema wengi wanaishia middle class. Wenye one wengi wao kufika daraja la juu kabisa ni changamoto. Huishia lile daraja la kuwa na nyumba moja, gari moja kama crown, spacio na jamii hiyo pamoja na familia inayoishi kizungu. Wale wa div three kushuka chini wengi wao huwa daraja la chini kabisa kimaisha na wachache huwa daraja la juu kabisa... hawakaagi katikati.
Kuna ukweli hapa.
 
Mungu mkubwa Sana nilipata one Olevel.....Somo la kiswahili lilikua gumu sana, tuliomaliza 2009 wanajua, nilinosha kiswahili A ya kibabe sana.Somo la kiswahili nilikua wa 9 kitaifa,,nilipokea barua ya pongezi toka wizarani, nimeijengea sanamu geto.
IMG_20210523_071800_321~2.jpg
 
Mungu mkubwa Sana nilipata one Olevel.....Somo la kiswahili lilikua gumu sana, tuliomaliza 2009 wanajua, nilinosha kiswahili A ya kibabe sana.Somo la kiswahili nilikua wa 9 kitaifa,,nilipokea barua ya pongezi toka wizarani, nimeijengea sanamu geto.View attachment 1794604
kiswahili kupata A sio kazi ndogo..Hongera
 
Msijipe moyo. Waliopiga one wengi wao wana maisha mazuri. Sema wengi wanaishia middle class. Wenye one wengi wao kufika daraja la juu kabisa ni changamoto. Huishia lile daraja la kuwa na nyumba moja, gari moja kama crown, spacio na jamii hiyo pamoja na familia inayoishi kizungu. Wale wa div three kushuka chini wengi wao huwa daraja la chini kabisa kimaisha na wachache huwa daraja la juu kabisa... hawakaagi katikati.
Tupe sample ya tafiti yako.
 
Back
Top Bottom