Umeshawahi kupiga One katika levo yoyote ya elimu? Tukutane hapa

Umeshawahi kupiga One katika levo yoyote ya elimu? Tukutane hapa

Shule ni u*£&@-(@ ningefundishwaga kubeti baada ya somo la kusoma, kuandika na kuhesabu nigekuwa nimeshajenga 🤣🐒🤸
 
Division 1.5... pcm... physics A, chemistry E, advanced mathematics A, divinity C.... its not kwamba kufaulu shule ndio kufaulu maisha.. but atleast its an achievement. Hata wazazi wanaona hawajachezea hela yao kukulipia ada. Nakumbuka kuna dada yangu mmoja alikua haamini kama ningeweza kupata division 1 ya PCM...hahahahaha.. nikamuaminisha mpaka akakubali.. mwisho wa siku tukafurahi pamoja na mpaka leo tuko karibu sana...
 
Chemia uliitelekeza sana
 
Nakiri hilo. Na nilikua siipendi kabisa... nashukuru Mungu hata nikipata hiyo E... mwanzo nilidhani ningegoga mswaki
Mimi niliifaulu ila kwa kuchagua topic, Organic ilikuwa tia maji tia maji yale maswala ya conversion yalikuwa yananiboa sana.

Niliponea kwenye Physical, Inorganic, Soil na Practical
 
Hongera sana mkuu. Hakika ulitumia mbinu bora
Mimi niliifaulu ila kwa kuchagua topic, Organic ilikuwa tia maji tia maji yale maswala ya conversion yalikuwa yananiboa sana.

Niliponea kwenye Physical, Inorganic, Soil na Practical
 
Jamani kufaulu darasani vizuri haimaanishi maisha yatakuwa mazuri hapo mbele,.mtu kufaulu physics vizuri haimaanishi una financial education nzuri kumbuka pia shuleni unafundishwa kuwa utakuwa mwajiriwa mzuri hapo mbeleni
Hamna anayekufunisha kuja kufungua kampuni, au hata ujasiriamali mdogo ndio maana unaweza kukuta profesa ana maisha ya kawaida sana kuliko classmate wake wa lasaba
 
Nilipiga I ya Point 18 Ordinary Level Yombo Tech
Nilipiga I ya Point 09 Advanced Level HGL huko Kantalamba
Nilipiga GPA ya 3.2 Lower Second UDSM
.
.
Nimepoteza miaka 9 shuleni nilivyorudi kitaa waliofeli O' Level wamefanikisha yafuatayo;
1. Wana Biashara zilizoshamiri;
2. Wamejijenga kiuchumi na kimaisha;
3. Wamejijenga Kijamii;
4. Wamejijenga Kisiasa;

Kwa UFUPI;
Nimeajiriwa na Classmate wa STD VII ambaye hajui mlango wa darasa la Sekondari wala Chuo.
.
.
Nimezunguka na bahasha za khaki mpaka zikiniona tu zinalowa jasho;
.
.
Kila nikiwasikiliza wabunge wa JMT roho inamani kuchomoka!!
Duh hivi kuna I ya 18 kweli?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niliiotea A-level na darasa zima one zilikuwa mbili tu na yangu ndani🤣🤣🤣....alafu ulikuwa msuli wa taa ya chemli na karabai daaah,acheni MUNGU aitwe MUNGU.
Nyie ndio design ya Magufuli akina Mpango kusoma kwenu kwa shida inapelekea kuwa na roho mbaya zaidi ya Jambazi.nawafahamu wengi sana waliosoma kwa namba yako baada ya kuwa viongozi yani ni roho mbaya.
 
Na mbaya zaidi Jamii ya kitanzania na diniani haiwezi kukumbuka kwa kupata division 1 bali umeitumiaje hiyo One kusaidia Jamii.
Sasa nimeamua kupambana ili niache alama kwenye jamii kwa hiki kiduchu nilichokisotea
 
Back
Top Bottom