Umeshawahi kupiga One katika levo yoyote ya elimu? Tukutane hapa

Hizi chai jaman muwe mnaweka viungo bas
 
Kiukweli inauma sana washkaji waliokuwa wanapiga mabanda leo hii wengi wanategemea mshahara usiotosha na kuishia kukuomba ushauri biashara gani wafanye. Hizi shule za vipaji zilikuwa na vipanga wasioelezeka na wengi wao kwenda kusoma chuo kikuu. Ila baada ya chuo wengi wamepata kazi sehemu mbalimbali tatizo linakuja kwenye kipato (mshahara)... ni majanga.
 
Ukizoea kufaulu sana siku ukipata usichotarajia hata kama kwa mwingine ni matokeo mazuri, basi huo ndiyo mwanzo wa kupoteza focus.

Wanaofaulu kidogo hutembea na plan B katika kusoma kwao, na wengi familia huwasapoti sana.
 
Kuna ukweli hapa.
 
Mungu mkubwa Sana nilipata one Olevel.....Somo la kiswahili lilikua gumu sana, tuliomaliza 2009 wanajua, nilinosha kiswahili A ya kibabe sana.Somo la kiswahili nilikua wa 9 kitaifa,,nilipokea barua ya pongezi toka wizarani, nimeijengea sanamu geto.
 
kiswahili kupata A sio kazi ndogo..Hongera
 
Tupe sample ya tafiti yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…