Umeshawahi kutana na koboko(black mamba), uliescape vipi maana huyu sio wa mchezo

kwa upande wangu sikawahi kutana nae ila nisikia ni hatare sana na wanasema sana sana anptkn Tabora, kanda ya ziwa ,Dodoma na Mbeya
Kama ushawahi kutana nae share nasi tujifunze😁
Nyoka anaogopa binadamu kuliko unavyomuogopa wewe, black mamba ana sumu za aina mbili,inayoweza kugandisha damu na inayoweza kuharibu mishipa ya fahamu,, ukimuona achana nae, endelea na shughuli zako,, ukiamua kupambana nae ili kumuua inawezekana lakini ujue hatari ya hiyo vita uliyoanzisha.
 
Vita ??
 
Sijui nilitokaje, au labda ali sense sikuwa na hiayana nae.. alisimama mbele yangu ghaflaa.. na akarudi alipotoka ghaflaaa.. ilikuwa Tabora
 
Nyoka anaogopa binadamu kuliko unavyomuogopa wewe, black mamba ana sumu za aina mbili,inayoweza kugandisha damu na inayoweza kuharibu mishipa ya fahamu,, ukimuona achana nae, endelea na shughuli zako,, ukiamua kupambana nae ili kumuua inawezekana lakini ujue hatari ya hiyo vita uliyoanzisha.
Ni kweli mkuu hapa shamba nina banda langu naishi, nilikuta amejivua lile gamba lake urefu futi 2, niliambiwa mpaka amejivua ni kwamba ameishi humo karibu mwezi, inaelekea kuna eneo alikuwa anakaa na mimi nilikuwa sifiki hapo na alijua kuna mtu humu angeweza kunivizia na kunimaliza, aliamua kuwa mpole tu maana aliona simsumbui.
 
Nyoka anaogopa binadamu kuliko unavyomuogopa wewe, black mamba ana sumu za aina mbili,inayoweza kugandisha damu na inayoweza kuharibu mishipa ya fahamu,, ukimuona achana nae, endelea na shughuli zako,, ukiamua kupambana nae ili kumuua inawezekana lakini ujue hatari ya hiyo vita uliyoanzisha.
Aisee!
 
Nimekutana nae mara mbili. Mara ya kwanza alikuwa anakatisha barabara ambapo nami nilikuwa napita, nilivyomuona ametulia tuli na kuinua kichwa kiasi, aisee nikajisemea hapa si pa kusimama, kuhoa wala kurusha jiwe. Ni hatari mwanangu, mwamba ni mkubwa na mweusi. Urefu na kichwa chake jumlisha unene wake karibia tairi ya mbele ya TVS/Boxer.

Mara ya pili ilikuwa uso kwa uso akikatisha kwenda kichuguu na nilimtambua ndani ya mita 5, eee buana ngoja niishie hapa.
 
Wanasema akikuona lzm kulambe tu ni kweli?
 
Mimi nilikutana Naye mbugani akawa anainua kichwa chake.Nikambana na mti kichwa chake na nikamshika mkia wake nikaanza kumzungusha juu Hadi akalegea na kumng'oa meno yake.Nilifanya Hivyo Kwa kutomjua kuwa alikuwa ni black mamba Hadi pale watu wanaojua nyoka wakaja wakamtambua Kwa jina na wanasema nilikuwa nacheza na moto
 
Umuzungushe black mamba apn mkuu🤣🤣
 
Back
Top Bottom