Kazakh destroyer
JF-Expert Member
- Nov 16, 2017
- 4,152
- 8,631
Mhhh basi binadamu anaweza kutrainiwa akawa hata shetani mtu aisee.Wako normal, ni professional snake handlers, na ni kazi inayowapatia kipato kikubwa, waanahusishwa kwa uhifadhi na tafiti za taasisi za kutengeneza madawa/snake antidotes (snake antivenom), pia wanapata oder ya ku-supply sumu za nyoka za spidhi mbalimbali kwa taasisi za kimataifa zinazotengeneza antidotes na chanjo😀