Hii kiboko aiseee, angefanikiwa kutoka hapo ungepatikana. Maana nasikia mchizi hana show mbovu.Mimi nilikutana Naye mbugani akawa anainua kichwa chake.Nikambana na mti kichwa chake na nikamshika mkia wake nikaanza kumzungusha juu Hadi akalegea na kumng'oa meno yake.Nilifanya Hivyo Kwa kutomjua kuwa alikuwa ni black mamba Hadi pale watu wanaojua nyoka wakaja wakamtambua Kwa jina na wanasema nilikuwa nacheza na moto
Kuna shule moja huko tabora ilifungwa kwa muda ili wapambane na koboko waliitwa waganga wa jadi wanasema walikuwa wakirusha mawe anakwepa anajirusha mti mmoja hadi mwingine aseeHii kiboko aiseee, angefanikiwa kutoka hapo ungepatikana. Maana nasikia mchizi hana show mbovu.
Ni nouma wanasema huyo nyoka ni mkorofi sanaNilikutana nae mboka nikiwa 13yrs mzee wangu alikua anamashamba ya tambuku chimbo moja hivi lakuitwa igombe ,
Kabla sijamuona tulikua tumeenda kufua kisiman na vijana wa mzee jamaa akaona alama tairi la baiskel lisilo na kashata aka kipara limakatiza barabarani jamaa akaniambia muda simrefu hapa kapita koboko nikauliza umejuaje? Mwamba akaniambia huyo mwamba hatembeagi kwa kujinyonganyonga kama vinyoka vyakipumbavu yeye hujivuta tu kwa mstar mnyoofu ,bas nikapata hio knowledge moja ya mwituni
Sasa tuko zetu kisiman mwamba anafua mimi nimejilaza kwenye mchanga mweupe pee uliopatikana baada kuchimba kisima mbele yangu nikaona nyaka yuko rangi ya khaki nmemkodolea macho kama nimepigwa na butwaa akapita mbele yangu akaja mpaka usawa nilipo akatokomea mgongon huko ata kugeuka nyuma sikuweza alivyopotea kabisa ndio akili ikaja nikamwambia mwamba kapita koboko hapa jamaa akacheka sana akasema angekua koboko saiv ungekua ushabadilika rangi jamaa alikua na haki yakutokuniamin maana nilikua na reputation ya uongo uongo sana kipindi hicho sasa mwamba alivonisogelea siakaona ile alama ya unyayo alioacha chief wa pori akaniambia baba #niyeye hapa tuchape mwendo
Kilichoniokoa mimi adrenalin yangu hakuditekt hatar so sikutoa kijasho cha kujihami wala,sikuleta wenge mwamba akaniona koboko mwenzie tu
Nilivorudi kambini nikamwambia mzee huku uonge mimi nirudishe tu town
mmmmmmmmmmmmmmmmhhhhhhhhhhhhhhMimi nilikutana Naye mbugani akawa anainua kichwa chake.Nikambana na mti kichwa chake na nikamshika mkia wake nikaanza kumzungusha juu Hadi akalegea na kumng'oa meno yake.Nilifanya Hivyo Kwa kutomjua kuwa alikuwa ni black mamba Hadi pale watu wanaojua nyoka wakaja wakamtambua Kwa jina na wanasema nilikuwa nacheza na moto
Tofauti na nyoka wengine ukiacha chatu , nyoka wengine wakikuona wanachimba au wana hibernate wao wanashambulia tu wakitishwaNi nouma wanasema huyo nyoka ni mkorofi sana
WEwe ulikutana na cobraNimekutana nae mara mbili. Mara ya kwanza alikuwa anakatisha barabara ambapo nami nilikuwa napita, nilivyomuona ametulia tuli na kuinua kichwa kiasi, aisee nikajisemea hapa si pa kusimama, kuhoa wala kurusha jiwe. Ni hatari mwanangu, mwamba ni mkubwa na mweusi. Urefu na kichwa chake jumlisha unene wake karibia tairi ya mbele ya TVS/Boxer.
Mara ya pili ilikuwa uso kwa uso akikatisha kwenda kichuguu na nilimtambua ndani ya mita 5, eee buana ngoja niishie hapa.
Huamini?mmmmmmmmmmmmmmmmhhhhhhhhhhhhhh
Anaaibu sana, ila ukikuta aliyedhulika ndio balaa lake utaliona, ukiwa porini tembea kuanzia saa nne asubuhi maana hujificha kwani kuna wajanja wenzake wanamuwindaNi nouma wanasema huyo nyoka ni mkorofi sana
Nyoka karibu wote wana hulka mmoja..... Huwa wanajitahidi sana ku avoid kukutana ana kwa ana na viumbe ambao ni wakubwa kuliko wao, ni hatari kwao na ambao sio chakula chao.kwa upande wangu sikawahi kutana nae ila nisikia ni hatare sana na wanasema sana sana anptkn Tabora, kanda ya ziwa ,Dodoma na Mbeya
Kama ushawahi kutana nae share nasi tujifunze😁
Mi nilikutana nae shamba la mtama kule dodoma nikavua ndala nikaishika nilimtoa baru ana bahati asingekimbia ningemalizana nae kwa kumzaba makofi ya ndalakwa upande wangu sikawahi kutana nae ila nisikia ni hatare sana na wanasema sana sana anptkn Tabora, kanda ya ziwa ,Dodoma na Mbeya
Kama ushawahi kutana nae share nasi tujifunze😁
Hizi ni myth tu hazina ukweli wowoteTofauti na nyoka wengine ukiacha chatu , nyoka wengine wakikuona wanachimba au wana hibernate wao wanashambulia tu wakitishwa
Au chatu anashambulia tu ili ale
Ila koboko master yeye anashambulia for funny tu anaweza kuingia zizini akaruka na ng'ombe kumi halaf akapita hivi au anaweza akakuona kwa mbali akaanza kukulia timing akufanyie unyoka
Warning gani mkuu??Nyoka karibu wote wana hulka mmoja..... Huwa wanajitahidi sana ku avoid kukutana ana kwa ana na viumbe ambao ni wakubwa kuliko wao, ni hatari kwao na ambao sio chakula chao.
Nyoka wana sense ya hali yajuu kupitia ulimi na macho yao kubaini kiumbe kinacho wakaribia....... Hivyo akikuhisi/ona kwa mbali kabla hujamuona huwa anajificha na kutulia tuli hadi upite
Na iwapo mtakutana ghafla ana kwa ana Kwenye open space au ukambananisha labda ukatani kwakawaida Koboko huwa kwanza lazima asimamishe kichwa na kutoa onyo kwa mlio mkali wa kupuliza, na ukizidi kumsogelea anaweza kukurushia sumu usoni ili kukupa upofu wa muda ili apate nafasi ya kusepa zake
Koboko huwa hashambulii bila warning labda umkanyage ghafla hapo ata attack bila warning
Kumekua na uongo mwingi kwamba ukikutana naye anakufukuzia hadi akung'ate au anaweza kuua hata mifugo mingi zizini just for fun........ Hii sio kweli
Sasa unabisha ulikuwepoooo ulikuwepoooo!!!!Sio kweli
Sio kweli huyo nyoka ni mtukutu kupindukia angekumaliza mapema tu
Cha ajabu ambao hawajaishi vijijini wanamjua kiboko kwa picha ni wakwanza kuelimisha eti akikuona lazima akushambulie, waongo kweli , huyo kukushambulia labda iwe bahati mbaya kuna mtu alimchokoza eneo hilo kwa hiyo awe na hasira alafu wewe ukapita hapo utaona amekushabulia bila kumchokoza,, vinginevyo huyo huwa mpaka umchokozeNyoka karibu wote wana hulka mmoja..... Huwa wanajitahidi sana ku avoid kukutana ana kwa ana na viumbe ambao ni wakubwa kuliko wao, ni hatari kwao na ambao sio chakula chao.
Nyoka wana sense ya hali yajuu kupitia ulimi na macho yao kubaini kiumbe kinacho wakaribia....... Hivyo akikuhisi/ona kwa mbali kabla hujamuona huwa anajificha na kutulia tuli hadi upite
Na iwapo mtakutana ghafla ana kwa ana Kwenye open space au ukambananisha labda ukatani kwakawaida Koboko huwa kwanza lazima asimamishe kichwa na kutoa onyo kwa mlio mkali wa kupuliza, na ukizidi kumsogelea anaweza kukurushia sumu usoni ili kukupa upofu wa muda ili apate nafasi ya kusepa zake
Koboko huwa hashambulii bila warning labda umkanyage ghafla hapo ata attack bila warning
Kumekua na uongo mwingi kwamba ukikutana naye anakufukuzia hadi akung'ate au anaweza kuua hata mifugo mingi zizini just for fun........ Hii sio kweli
Koboko siyo mweusiNimekutana nae mara mbili. Mara ya kwanza alikuwa anakatisha barabara ambapo nami nilikuwa napita, nilivyomuona ametulia tuli na kuinua kichwa kiasi, aisee nikajisemea hapa si pa kusimama, kuhoa wala kurusha jiwe. Ni hatari mwanangu, mwamba ni mkubwa na mweusi. Urefu na kichwa chake jumlisha unene wake karibia tairi ya mbele ya TVS/Boxer.
Mara ya pili ilikuwa uso kwa uso akikatisha kwenda kichuguu na nilimtambua ndani ya mita 5, eee buana ngoja niishie hapa.