Umewahi au unaweza kukaa muda gani bila kushiriki mapenzi?

Umewahi au unaweza kukaa muda gani bila kushiriki mapenzi?

Mimi nimewahi kukaa miezi 8 pasipo kushiriki mapenzi, ilitokea nikasafiri kikazi kuna project fulani nilienda kuifanya ambayo ilinifanya nikawa mbali na wife.

Asikwambie mtu miezi 8 si mchezo, nilitoboa japo kwa mbinde, ilikuwa ni mwendo wa kazi na sala,

Vipi kwa upande wako, unaweza au umewahi kukaa muda gani bila kushiriki mapenzi?
 
Back
Top Bottom