Makiwendo
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 10,340
- 36,020
Kwamba nikiulizwa nini Eroni?[emoji2]Haha, Maki huyu mtoto inabidi atoe siri ya mafanikio yake.
Hili swali ukiulizwa unaweza kutoa jibu gani?[emoji16][emoji16]
Kwamba nikiulizwa nini Eroni?[emoji2]Haha, Maki huyu mtoto inabidi atoe siri ya mafanikio yake.
Hili swali ukiulizwa unaweza kutoa jibu gani?[emoji16][emoji16]
Ila wakubwa hawaulizani haya maswali ujue. Sijui hata nilifikaje hapa😁😁Kwamba nikiulizwa nini Eroni?[emoji2]
Yeah ukishajijua uko hivo unakuwa single tu, uwe na mtu wa kazi gani wakati unajua kabisa utakuwa humpi haki yake, huo ni ubinafsiManake kama kaboy kapo si unakatesa tu jamani...
Nimeshangaa sana...Ila wakubwa hawaulizani haya maswali ujue. Sijui hata nilifikaje hapa[emoji16][emoji16]
Ukipata mtu ambaye mna physics mta-date? Ms eyesMiezi 6, wakati mwengine mpaka mwaka kama sijapata mtu ambae tuna chemistry
Mintakaa alone hadi pale utakapo nikubali wewe...🤗kwakweli 😊😂😂,, hujasema mkuu wewe unaweza kukaa miaka mingapi 😊😊
Endelea kuwa na unrealistic expectations, ukitafuta a tall, rich dark & handsome man Abigail NabalMie naelekea 7 years
Nina mwezi yangu mitano na ninasurive vizuri,Ni kwa muda mrefu kiasi gani unaweza kukaa bila mpenzi ama kutojihusihsa na mapenzi?
Unafanya nini kistahimili mda mrefu?
Mimi sahivi nina mwaka 1 na miezi 5 sijagegeda mwanamke, kwasababu wanaomba sana hela, na wanaleta head games nyingi nkiwatongoza, na kununua malaya sitaki Leejay49naweza mda mrefu ila mwaka hapana kwakweli 😂😂😂😂
Nipo single kwasababu kila mdada ninaemtongoza leo kesho ananiomba hela JoanahUkae bila mpenzi ili iweje?
Kuwa single ni ulemavu wa kujitakia
Toa mutu,weka mutu
Mapumziko mbinguniii
Unajisifu kutoboa miezi 6 wakati mimi nina mwaka 1 na miezi 5 sijagegeda Depal😀😀 not masaaa
Hapa enyewe nishatoboa miezi 6. 😎
Endelea kusubiri mwanaume rich, tall, dark, & handsome KapeaceKwa muda niliovuta bila hiyo kitu naanza kuona dunia inazunguka kurudi nyuma hata na bandari ndo maana inauzwa, hili jambo halifai wala siliungi mkono
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] watakuja kukushukia kama mwewe...bora ukimbie mapemaTusio wahi fanya kabisa, tuna comment wapii??
[emoji23][emoji23][emoji23]
aisee😃😃😃😃Mintakaa alone hadi pale utakapo nikubali wewe...🤗