Umewahi kuachana na mtu kisa kazidisha mapenzi?

Hahahahah asee ni balaa,upendo ukizidi unaboa sana..
wote walonionyeshea vile nliwabwaga,kuwasliana waga hawachoki.
Yani unakua sio upendo tena ni usumbufu. Mtu unakua huishi kwa amani mda wote ni kama unafuatiliwa kila dakika mtu anataka kujua uko wapi, unafanya nini, uko na nani, mbona unachelewa kujibu msg, mbona hupokei simu... khaa!
 
Hahahahah asee ni balaa,upendo ukizidi unaboa sana..
wote walonionyeshea vile nliwabwaga,kuwasliana waga hawachoki.
Aisee ata mimi kuna kiwango cha mapenzi mwanamke akinionyesha nampiga chini maana naanza kuwaza mambo mengi kuwa huyu si anaweza ata kwenda kwa mganga akaloga huyu..?
 
Umenikumbusha kuna bidada alikuwa anakuja kwangu bila taarifa, ana park gari nje anasubiri mpaka saa tisa usiku, basically stalking.

Alikuwa anavizia anione kama nitarudi na mwanamke mwingine.

Nikasema isiwe tabu.

Nikawaambia walinzi huyu akija siku yoyote mwambieni sipo.
 
Na hua hawachoki kirahisi wa hivyo utashangaa anaendelea kuja hata miezi sita mbele hakati tamaa
 
Hiki mnachokijadili humu ndo nachopitia saivi, mpak nawaza ni nin hiki Nimemfanya huyu mwanamke ?

Maan hat kam ningempa Limbwata lakn bado lisingefkia kiwango hiki cha mapenzi yaliyopitiliza anayoonyesha,

kuna muda hadi nliamua kuiacha tu simu hovyo ili aishike akute meseji nazochat na mpenz wangu mwngne ili akasirike tuachane ila cha ajabu amezkuta na ameniambia kanisamehe tuendelee yan kiukweli sielew nachomokaje hap Wakuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…