Umewahi kuachana na mtu kisa kazidisha mapenzi?

Kuna iyo moja asee ilinipenda siwezi kataa upendo wake kwangu

Imagine umelala ,then saa 12 asubuhi unasikia mlango unagongwa kufungua ni yeye ameufuata mkuyenge ilikua njema sana kwangu

Niseme tu alizidisha mapenz mno na mwamba sikuwa niko katika hali iliyo sawa. Nikawa namzingua tu

Kuna iyo siku alikuja mahala nafanyia kazi akaniomba tusepe amenimiss ,nikatii vizuri na kusepa ,njian alianzisha zogo had tunafika ghetto ugomv mkali

Mwamba ikabdi nimpuuze tu nikavuta shuka uku yeye akiwa anaongea

Ebwana lile shuka lilivutwa kutahamaki mtu kashika KISU mkononi ikabdi niwe mpole tukapatana ugomvi ukaisha

Mtoto akavua nguo zake tulale sasa,na ikibidi nimchakaze bao kadhaa..,mwamba nilishindwa niseme tu nililala naye kama dada yangu ,

Ile usiku sikupata usingz ,majira ya saa tisa usiku niliandika meseji ndefu sana kwnye
Simu yangu ya kulimaliza pendo ,

Kumbuka mtu nimelala naye alafu natuma meseji ya kumuacha akihamka asubuhi akutane nayo

Unaweza sema alikua kichaa lakini mimi nahamini alikuwa na upendo wa kupitiliza juu yangu



Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Chai ya baridi sana hii
 
Mkuu kwanini gharama ikushinde wakati alikupenda ilibidi ajigharamie mwenyewe.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Mnaotafuta bikra ndio kama huyo sasa[emoji3]
 
Mimi nilikuwa nae mmoja wa ivyo ivyo nae ni single maza uyu nae muda wote text mara utasikia nambie kidg nambie muda wote kuchat tu kiukwel kero sana yan unajua kuna mtu yule analalama sana kidg lawama kiukwel anaboa sana mwisho wa siku kila mtu na hamsin zake
 
Kitaalamu hii inakua inasababishwa na nini?
Hii mara nyingi n ttzo la kisaikolojia ambalo lilianzia utotoni linaloitwa separarion anixiety ni au alilelewa na singo mama, au bibi na ndugu wengine tofaut na wazazi, au alishuhudia kukataliwa au alinyanyaswa sana utotoni hvo alilosa kuwaamin watu.

mtu kama huyo akiingia kwenye mahusiano anakuwa hamuamn mchumba ake hvo anatuwa na hofu mda wote na kutafuta attchment and proximity kwa huyo mchumba ake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…