iamriq_arthur
JF-Expert Member
- May 1, 2021
- 440
- 1,086
Hii mara nyingi n ttzo la kisaikolojia ambalo lilianzia utotoni linaloitwa separarion anixiety ni au alilelewa na singo mama, au bibi na ndugu wengine tofaut na wazazi, au alishuhudia kukataliwa au alinyanyaswa sana utotoni hvo alilosa kuwaamin watu.
mtu kama huyo akiingia kwenye mahusiano anakuwa hamuamn mchumba ake hvo anatuwa na hofu mda wote na kutafuta attchment and proximity kwa huyo mchumba ake.
Bonge la point, [emoji736]. Nina dem ambae alifiwa na wazazi wake tangu akiwa mdogo alilelewa na ndugu zake kwa manyanyaso sana na wazazi wake walimuachia mali nyingi sana.
Since tukutane mimi na yeye, mapenzi yalikua moto moto sana, yeye anasoma chuo, mimi nipo kitaani napambana, demu alikua ananisupport vitu vingi sana.
Aliachiwa nyumba ilikua na vyumba vya wapangaji vingi tu na mashamba ambayo yalikua yanasimamiwa na ndugu zake waaminifu, dem alizidisha mapenzi na wivu kama wote,
Alikua hapendi kuona kwenye simu yangu meseji yoyoye ikiingia lazima atake kuisoma, ndipo tulipoanza kugombana,
Simu moja nilimpiga nusu kumuua mpaka akashindwa kuhema nikaogopa nikahisi nimeua, niliondoka na kuelekea mbali sana, lakn baada ya siku kadhaa dem alinitafta.
Alinitafuta na kuniomba msamahama, nilihisi labda ni mchongo anataka kunifanyia kitu kibaya, lakn mpaka sasa demu ananipenda sana, na anasema hajawahi kufikiria kukubari kuachana na mimi kwenye maisha yake.