Umewahi kuchapwa/kupigwa na mzazi/mlezi?

ha ahaaha
 
Hapo ulipomalizia ndio pameniacha na Furaha at least. Kwamba pamoja na yote aliyowafanyia lakini alibaki kuwa mama yenu. Na natumaini ameakuachia funzo kwamba Yale uliyoyakosa kwake utawapa watoto wako.
Mungu awabariki nyote kwa moyo huo na najua machungu yenu Mungu amekwisha yafuta.
Poleni Sana.
 
kichapo ambacho sitakisahau??

aisee nimechapwa sanaa adi nilijiapiza sitokaa nichape wanangu mweeehh!

ila kuna wakati nilimpaga rafiki yangu kitabu changu nikampa chote chote jamani nilichapwa acha tuu. enzi hizo ukiwa na kitabu ni wewe na wadogo zako wote mnakitumia so mnaachiana.

ila adhabu ambayo sitaikumbuka ni ile ya kunipa mpunga na ndondo eti nile ndo mlo wangu wa usiku.

kisa nilisingizia naumwa tumbo nikajifungia chooni, wenzangu wakitwanga ili kupata pishi moja tupike.

apo nilikuwa nimetoka kuchuma kahawa afu sipendagi tuu kazi ya kutwanga........alinivizia mda wa msosi.

alinikomeshajee???
 
ha haha uache utegevu
 
Baadhi ya story nlizosoma humu juu ya expirience za wanajamvi zinasikitisha.
Kuna kumwadhibu mtoto na kuna abuse,huwezi kumpiga mtoto na kumjeruhi ukasingizia eti unamfundisha,Ive seen some f#%ked up shit as a kid,kuna tabia za ajabu watu wanazo wanashindwa kuelewa wamezipataje,kumbe ni bad upbringing,watoto wanateseka jamani tena sanaa,sababu tu hawana nguvu na akili ya kujitetea,watoto wanaumizwa,wananajisiwa,kutumikishwa kazi ngumu ngumu,kuwa brainwashed kuingizwa kwenye mihadarati na mengine mengi yasiyosemeka,its a harsh reality,na wote tunahatia ya kulinyamazia hili,wazazi,serikali na wengine

Kuna watoto wanalala kwenye maboksi katikati ya mji kabisa kkoo,wewe una uwezo na nafasi unashindwa hata kumuasili yatima ama mtoto alie katika mazingira magumu mmoja ukaishi naye na kumlea kama mwanao alafu unaingia kwenye mitandao kumlaumu magu na serikali yake
Watoto yatima hawastahili kuwekwa kwenye makambi/vituo kama wakimbizi,they belong in our homes,nao wangependa kuwa katika familia na kuishi kama tunavyopenda waishi watoto wetu,adoption should be trendy,wasanii wakubwa na viongozi waonyeshe mfano

Tusiruhusu watoto wanyanyaswe mbele yetu,tukemee,tupaze sauti.
Ustawi wa jamii ni jipu,walitakiwa watoe elimu kwa jamii kuhusu hili
 
Amina!
Pole sana kwa yote!
 
Mungu amponye!
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kabisaa!!! Mtu ukizungumzia adoption watu wanakuponda sana!!! Inabidi elimu itolewe kweli kuhusu hili jambo.
 
Du! namkumbuka mama yangu alikuwa ananichapa hadi anaanza kung'atang'ata na meno!!! Pumzika kwa amani mama yangu Mungu akulaze mahala pema peponi nashukuru ulinionya vyakutosha maana si utundu ule sijui ungenilea kimayai mayai leo ningekuwa mtu wa aina gani katika jamii yetu.
 
Kabisaa!!! Mtu ukizungumzia adoption watu wanakuponda sana!!! Inabidi elimu itolewe kweli kuhusu hili jambo.
Mungu atakubariki ukionyesha kupenda na kujali uhai Wa binadamu mwenzio, hata usipomuasili msaidie tu afikie umri Wa kujiweza peke yake, let say unamsomesha had somewhere alafu anaweza kujitegemea, hawa watoto ombaomba ni watoto Wa ndugu zetu, ni watoto Wa Dada kaka na mabinamu...
 
Kweli kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…