Baadhi ya story nlizosoma humu juu ya expirience za wanajamvi zinasikitisha.
Kuna kumwadhibu mtoto na kuna abuse,huwezi kumpiga mtoto na kumjeruhi ukasingizia eti unamfundisha,Ive seen some f#%ked up shit as a kid,kuna tabia za ajabu watu wanazo wanashindwa kuelewa wamezipataje,kumbe ni bad upbringing,watoto wanateseka jamani tena sanaa,sababu tu hawana nguvu na akili ya kujitetea,watoto wanaumizwa,wananajisiwa,kutumikishwa kazi ngumu ngumu,kuwa brainwashed kuingizwa kwenye mihadarati na mengine mengi yasiyosemeka,its a harsh reality,na wote tunahatia ya kulinyamazia hili,wazazi,serikali na wengine
Kuna watoto wanalala kwenye maboksi katikati ya mji kabisa kkoo,wewe una uwezo na nafasi unashindwa hata kumuasili yatima ama mtoto alie katika mazingira magumu mmoja ukaishi naye na kumlea kama mwanao alafu unaingia kwenye mitandao kumlaumu magu na serikali yake
Watoto yatima hawastahili kuwekwa kwenye makambi/vituo kama wakimbizi,they belong in our homes,nao wangependa kuwa katika familia na kuishi kama tunavyopenda waishi watoto wetu,adoption should be trendy,wasanii wakubwa na viongozi waonyeshe mfano
Tusiruhusu watoto wanyanyaswe mbele yetu,tukemee,tupaze sauti.
Ustawi wa jamii ni jipu,walitakiwa watoe elimu kwa jamii kuhusu hili