miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,811
- 49,053
hizi fix hizi rafikiMimi nilipokuwa darasa la kwanza nilimtundika mimba mdada wa form 2. Aisee. Kile kipigo, hata kuhadithia siwezi!
Mungu akutie nguvu ndugu yanguPole mkuu..same story tofauti yetu ni kidogo sana... Mie imenifanya nashindwa kujiamini, najitibu taratiibu..
Wamama wote tuko hivyobaba hajawai ila mama duuh, utaratibu ulikuwa saa kumi na mbili jioni kila mtu ndani na tena uwe umeaga unaenda wapi, kuna siku nikazidisha masaa, nilichapwa hata kula nilisamehe, eti hao marafiki unaoenda kwao lakini sisi hatuwaoni wakija hapa ni kina nani?
Mungu anakuona!hizi fix hizi rafiki
Pole mkuu Mungu akutie nguvu,wazazi ni wa kuwaombea saanaa huwa tunakufa na tai shingoni inatesa familia nzimaMmh... mi nimechapwa hadi niliwachukia. Tena saingine kosa la mmoja tunapigwa wote watatu. Mdogoetu alikua mdogo.
Nilichokuja kugundua baadae ni kua wazazi walikua na stress mno.
Watu na ndugu walitamani maisha yetu ila hawakujua tu yanayoendelea. Migogoro yao ya ndoa ilitutesa sana sana.. SANA!
Mkisikia ukatili kwa watoto ndio ule. Kila siku Nilitamani kuihama ile nyumba. Nilivyomaliza six tu nikabahatisha kibarua cha hela nzuri halafu mkoa wa mbali. Nilishukuru
Mdogoangu anaenifatia ni wa kiume. Yeye alifaulu mkoani kuanza kidato cha kwanza ikawa sababu. Hakurudi tena hata likizo.
Nimepigwa hadi form 6 nachapwa vikosa vyenyewe sasa. Saingine kutoa Radio Tumaini kuweka radio One.
PoleeeeSikuwahi kupigwa kipigo kidogo.
Vyote ni vipigo heavy si home kwa bi mkubwa sio shule.
Hata sijui niweke kipi ila vyote ni heavy. Mfano nani humu kapigwa na mama na fimbo ikiwa "wanchoma kumoyo"? Niliwahi pigwa na hio kitu nikiwa std 3 tena utosini. I almost fainted if only I wasn't a "nunda"
Asante mkuu. Ila Asante kwa mama maana vipigo vyake leo ndio vimenifikisha hapa.Poleeee
Ni kweli wanatupiga kutufundishaAsante mkuu. Ila Asante kwa mama maana vipigo vyake leo ndio vimenifikisha hapa.
Asante ndugu, nilishasamehe na mungu amweke mahali pema peponi, kipigo wanaohadithia huku bado sana, Unasahau ilipo soap dish unapigwa bila nguo[emoji24] uchi kabisa, Wao bia mwendo mdundo Nyumbani ugali na mchicha aisee!! Nawashukuru sana kunisomesha mana nahisi nisingestarabika. Nimejiahidi kutouvunja moyo Wa mwanangu awae yote na hata Wa pembeni.Mungu akutie nguvu ndugu yangu
Pole mkuu..same story tofauti yetu ni kidogo sana... Mie imenifanya nashindwa kujiamini, najitibu taratiibu..
Uwiiiii BASENilipigwa mara ya mwisho na baba nikiwa la tano.
Kaondoka zake mjini kaniambia nifanye kazi za nyumbani, nioshe vyombo na kufanya usafi ikiwa ni pamoja na kuteka maji.
Kidume nikapiga chai nikaaenda misele ile narudi nakuta mzee kafika alikuwa na boot moja imeandikwa chini ya unyayo BASE basi bhna nikasalimia mzee na kuingia ndani.
Ile naingia ndani naona giza la ghafla kumbe milango imefungwa nipo na mzee ndani hakuna kazi imefanyika, stiki zikaanza za rejareja hadi shingoni.
Duh BASE ikanikalia shingoni nikapewa stiki za kutosha ili kujiokoa nikavunga nimezimia anapiga silii wala kutikisika.
Mzee anahisi ameua akafungua milango wee nilitoka nduki kama Hamorapa.
Dah... Wewe acha tu.... Bila bi mkubwa kumshika alikuwa anitie kiberiti... Aliishanimwagia mafuta ya taa[emoji13]Duh!!bora utuambie tu. I'm curious,ulifanya nn[emoji13] [emoji13] [emoji13]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] uliiba wewe. Tena uliipa pakubwa. Hata mi nlkuwa na katabia ya udokozi wa vi mia mia kwenda navyo shule,nilikung'utwa kama mtoto wa kamboDah... Wewe acha tu.... Bila bi mkubwa kumshika alikuwa anitie kiberiti... Aliishanimwagia mafuta ya taa[emoji13]
Wazazi wengine sijui wakoje wamelaaniwa[emoji19] [emoji19]Hivi wazazi wa kipindi hiki wanapiga watoto kama zamani? Mimi nimepigwa ila kuna rafiki wakati tupo shule ya msingi alipigwa na mzee wake sijawahi kuona kipigo kile ingekuwa leo yule mzee jela ingemuhusu kabisa jamaa aliletwa shule hawezi kutembea amekatwa sikio, alama za visu mgongoni na bado akampiga mbele ya mwalimu mkuu walimu wakamuombea msamaha jamaa angekufa. Wakati mwingine wazazi wetu walitumia vibaya nguvu zao kutuabuse. Mada imenigusa mno
Ukichunguza kwa makini wengi walikuwa abuse...kwenye jamii yetu tunaona kama ni kitu cha kawaida ila ni abuse. Kama wewe ulipigwa na mzazi wako sio lazima na wewe umfanyie hivyo mwanao.Wazazi wengine sijui wakoje wamelaaniwa[emoji19] [emoji19]