Umewahi kuchekeshwa na MC Pilipili?

Comment yangu niliponda na mtu kalike unaona akili zetu za kupenda watu watokewe na mabaya halafu kulike ina maana alifurahia


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hamna kabisa, wala hachekeshi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nikionaga ata tangazo lake tu nazima Tv

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu sio uzi wakwanza kumjadili kama ungekua unatumia browser ungeona suggestion nyingi za nyuzi ambazo zina relate na hii

Huyo hatumchukii eti kwasababu anamafanikio.

Hapana sio hivyo, halafu sijui kwanini kila mtu ambaye anakosolewa na watu fulani basi watu hao huonekana kama wanafanya hivyo kwa kusukumwa na wivu na kundi ambalo linamuunga mkono mtu huyo??
 
Huyo jamaa anaitwa MC Mandevu,kwa stand up comedy anajitahidi,kuna moja alinichekesha "mimi ni mwalimu,sioni tabu kusahihisha madaftrari 1000 au 500,mi kufundisha siyo ishu,noma ni pale mtoto wa watu avute bangi zake aniletee,ajaribu kunipiga,nitamtandika,nitampiga vichwa ,nitamtoa meno,najua uongozi wa shule utanirishisha kwa kumfukuza shule,nitamfuata kwao na masela zangu,tutampiga baba yake,nitampiga na mama yake,tutapiga na paka wao,hata kama kuna baiskeli imeegeshwa hapo nje kwao nitapiga,anipige kwa mshahara upi?""

Jamaa yupo vizuri
Sent using Jamii Forums mobile app
 
HAHAHAA
 
Ndivyo walivyo hawa watanganyika!

Mabingwa wa chuki na vijicho!

Toka utotoni mama zao wanawafunza uchawi na roho za korosho!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…