Umewahi kuchekeshwa na MC Pilipili?

Akiwa analia huwa anachekesha sana. From nowhere anaanza kumwaga mvua ya machozi.
 
Ingekuwa wakati wa awamu ya 4 tungekuwa tunacheka ila awamu hii ngumu sana vicheko havitoki ukilazimisha kicheko utaishia kutoa mlio makalioni
 
Hana lolote,na visa vyake havichekeshi ila huwa anajichekesha mwenyewe
 
naomba kwenye list yako mtoe mpoki hao wengine waache
 
Si mkubali kabisa huyu jamaa hawez kuchekesha bora hata mkwere au Tin white masantura na Ringo hawa jamaa nawakubali kwakuchekesha hapa Tanzania

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata masanja na joti hawajawahi nichekesha. Mpoki kidogo anajitahidi akiwa stand up. Huyu pilipili kwa kweli simuelewagi. Hata yule mkenya simuelewi.
 
Sasa ulitaka watu wamsifie wakat hajui, ukiona negative nyingi ndo ujue jamaa hajui , mbona king majuto au brother K negative zinakuwa chache ....
Ukiwa na akili neg zinakufanya kuwa Bora zaid, Ila ukiwa fala utakata tamaa, Mc Pilipili ana kipaji Ila sio cha uchekeshaji
 
Yeye na Idriss Sultan 'wanajichetua tu', hawana vipaji vya kuchekesha
Idris anajua kuchekesha sana tena sana .
Hujui tu .
Nampenda idris kwa kipaji alichonacho kama hakuchekeshi wewe sio lazima huwezi kuridhisha watu wote katika dunia hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…