Umewahi kuchekeshwa na MC Pilipili?

ana kipaji cha kufanya ujinga mbele za watu !!!!
 
kweli jamaa wakenya ni noma sana....iyo churchill usipime...ukiangalia ndo utajua watanzania bdoo sana...mtazamo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mie mwenzenu huwa ananichekesha sana huyu kijana. Unajua huyu yuko ngazi ya kimataifa ndo wengine hawawezi kujua au kubaini anachekesha au la hasha.
 
Na ijulilane tu kuwa comedian asipouchekesha haimaniishi hajui kuchekesha ,wengine wanachekeshwa ,,mfurahie anaekuchekesha ,,pia hiwezi kataa ukweli kuwa Mc pilipili kwa Tz yupo level kubwa sana
Mie mwenzenu huwa ananichekesha sana huyu kijana. Unajua huyu yuko ngazi ya kimataifa ndo wengine hawawezi kujua au kubaini anachekesha au la hasha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…