Umewahi kuchekeshwa na MC Pilipili?

Umewahi kuchekeshwa na MC Pilipili?

Sasa ulitaka watu wamsifie wakat hajui, ukiona negative nyingi ndo ujue jamaa hajui , mbona king majuto au brother K negative zinakuwa chache ....
Ukiwa na akili neg zinakufanya kuwa Bora zaid, Ila ukiwa fala utakata tamaa, Mc Pilipili ana kipaji Ila sio cha uchekeshaji
ana kipaji cha kufanya ujinga mbele za watu !!!!
 
Hakuna kitu anafanya pale, naona anajikakamua tuu comedy ni talanta sio kila mtu anayo, kwaupande wa standup comedy wakenya wapo mbali sana sana tuu, sio kwamba napinga vitu vya kwetu lakini ukweli sijaona mtanzania mchekeshaji sio JOTI, MPOKI, MC PILIPILI, wote hakuna kitu
kweli jamaa wakenya ni noma sana....iyo churchill usipime...ukiangalia ndo utajua watanzania bdoo sana...mtazamo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari zenu, kwanza nianze kumpongeza MC Pilipili kwa kupambana, kwa ujumla ni MC mzuri sana tu, turudi kwenye mada.

Mimi ni mdau mkubwa wa vichekesho vya ndani na nje ya nchi yetu. Kimsingi sikumbuki kama kuna siku nimewahi kuchekeshwa na MC Pilipili.

Huwa naangalia vipindi vyake vinavyoitwa vya ucheshi lakini hajawahi kunichekesha hata siku 1, huwezi mfananisha na mtu kama Joti au ile timu ya Mizengwe nk.

Kwa maoni yangu nadhani huyu bwana ni MC na si mchekeshaji au kuna wanao chekeshwa na MC Pilipili?
Mie mwenzenu huwa ananichekesha sana huyu kijana. Unajua huyu yuko ngazi ya kimataifa ndo wengine hawawezi kujua au kubaini anachekesha au la hasha.
 
Na ijulilane tu kuwa comedian asipouchekesha haimaniishi hajui kuchekesha ,wengine wanachekeshwa ,,mfurahie anaekuchekesha ,,pia hiwezi kataa ukweli kuwa Mc pilipili kwa Tz yupo level kubwa sana
Mie mwenzenu huwa ananichekesha sana huyu kijana. Unajua huyu yuko ngazi ya kimataifa ndo wengine hawawezi kujua au kubaini anachekesha au la hasha.
 
Na ijulikaane tu kuwa comedian asipokuchekesha haimaniishi hajui kuchekesha ,wengine wanachekeshwa nae ,,mfurahie anaekuchekesha ,,pia huwezi kataa ukweli kuwa Mc pilipili kwa Tz yupo level kubwa sana ,japo inawezekana wapo wadogo wanafanya vizuri zaidi yake
 
Back
Top Bottom