Umewahi kufika mikoa mingapi Tanzania na ipi uliipenda zaidi?

Dar
Morogoro- mjini, mvomero
Mara
Pwani, bagamoyo
Ruvuma,
Kigoma
Dodoma
Kagera
Mwanza
Tabora
Mikoa mingine kama singida iringa nk nimepita tu.
Kwa maoni yangu maisha ni popote inategemea na makusudio yako.
Ukiwa na hela unaishi mkoa wowote! kama huna hela basi ishi tu Dar ni rahisi kuzitafuta!
 
Iringa
Mara
Mwanza
Dar
Mtwara
Shinyanga -Kahama( home)
Dodoma
Tabora.
Arusha.
Mikoa mingi naona kama inafanana tu.Ila Dar City🙌🙌🙌🙌🙌
 
Mtwara,Lindi, Pwani, Dar, Tanga, Zanzibar, Kilimanjaro, Arusha, Manyara, Singida, Dodoma, Morogoro, Iringa, Njombe, Ruvuma, Songwe, Mbeya, Kigoma, Tabora, Shinganga, Mwanza, Simiyu, Geita, Mara na Kagera

Mkileta uzi wa nchi nitakuja tena!
 
1: Geita
2: Mwanza
3: Kigoma
4: Lindi
5: Shinyanga
6: Simiyu
7: Mara
8: Tabora
9: Singida
10: Dodoma
11: Morogoro
12: Pwani
13: Tanga
14: Kagera
15: Dar er Salaam
Mwanza is my home town but my favorite City ni Dar! …mikoa yooote hiyo nimepita ukiacha mwanza na dar Morogoro ni mkoa mzuri ila mzunguko wa pesa mdogo sana,
 
Aisee Nimeona Zanzibar kwenye ramani na Zanzibar ni mkoa ? Mbona hautambui mikoa yake ?😁
 
Wanakuroga afu wanakupa pole
 
Fisi wa mkoa wa Manyara hawana tatizo na ni nadra kusikia mtu kaliwa. Shinyanga na Simiyu ndo kuna upuuuzi wa fisi kula na kujeruhi watu.
Hydom ipo wapi!? Pale Hospitali kuna cases za watu kuliwa na Fisi hadi unaogopa mkuu
 
Ulifika Magu au Buchosa Mkuu!??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…