Umewahi kujaribu kupika dagaa kwa mtindo huu?

Ali
Nilikula kisamvu Cha karanga nilitamni kutema 😃Yani kinatia kinyaa kimehorojeka nikajikaza mwenzangu akashindwa kula 😀

Nikakuta sehemu nyingine kitam tu nikagundua mpishi wa kwanza alizidisha karanga sana inabid ziwe Kwa kiasi
Alizidisha mafuta kuna wengine karanga(ntwili) wanaweka mengi na futa la kutosha kisamvu kinakuwa km mlenda, ila kisamvu cha karanga ni kitamu kuliko cha nazi
 
Ali
Alizidisha mafuta kuna wengine karanga(ntwili) wanaweka mengi na futa la kutosha kisamvu kinakuwa km mlenda, ila kisamvu cha karanga ni kitamu kuliko cha nazi
Kapeace wewe nitakuja kukutembelea kula kisamvu inaonekana una kautaalamu katika hilo ila usije ukaweka kale kajan kenye sumu mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…