Umewahi kujaribu kupika dagaa kwa mtindo huu?

Hawa ndio waty
Wa jf nao wajua mimi wanajua kuliko mtoa mada
 
Wewe ni mwenyeji wa pwani ama tanga bila shaka , huku umatumbini tunapikiwa dagaa wanaogelea kwenye maji yaliyochanganywa na vitunguu na nyanya , dagaa wanakutazama mpaka unaona aibu kuwala, mchuzi unashuka na mkono mpaka kwenye kiwiko😁
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ me wa hapo daslam tu, sipen michuzi ya maji maji yan mchuzi mwaaa nyama chini hapana na niko hivo nikiingia jikoni kama naenda sehem ina familia always mchuzi hautoshi kwenye tembea tembea nikakuta mtu anapika makande ya karanga nilistaajabu sjawah kuona
 
Peanut haitumiwi kwenye mkate tu hizi karanga za kusaga ziko na matumizi mengi
 
Dagaa za michuzi nimezikataa kabisa , kuna wale dagaa wa supermarket wapo kwenye vikontena unawapiga hivyo hivyo na ugali wako na kachumbari yenye pilipili nyingi kwisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…