Umewahi kujaribu kupika dagaa kwa mtindo huu?

Hawa ndio waty
huyu angepika wale dagaa nyama wale kwa nazi hua watam sana sio kauzu uchanganye na kitu ya kulia mkate hell no!! kauzu wapikwe liwe roast dikodiko ukijichanganya ukajua ni mchuzi wa nyama ya kusaga kumbe ni kauzu hao dagaa nyama kam unatumia naz nao wana upikwaji wake na ni nazi og ukae chin ukune sasa kuna huyu na wale wa kuanza kukaanga kitunguu maji na mafuta mwisho wanamiminamo tui bubu mtu anakwambia amepika mchuz wa nazi hatari, ila unajua nn dagaa waliowekwa kitu ya kulia mkate kwangu ni brand new!! tena nisingeweza hata kula.
Wa jf nao wajua mimi wanajua kuliko mtoa mada
 
Wewe ni mwenyeji wa pwani ama tanga bila shaka , huku umatumbini tunapikiwa dagaa wanaogelea kwenye maji yaliyochanganywa na vitunguu na nyanya , dagaa wanakutazama mpaka unaona aibu kuwala, mchuzi unashuka na mkono mpaka kwenye kiwiko😁
 
😂😂😂 me wa hapo daslam tu, sipen michuzi ya maji maji yan mchuzi mwaaa nyama chini hapana na niko hivo nikiingia jikoni kama naenda sehem ina familia always mchuzi hautoshi kwenye tembea tembea nikakuta mtu anapika makande ya karanga nilistaajabu sjawah kuona
 
huyu angepika wale dagaa nyama wale kwa nazi hua watam sana sio kauzu uchanganye na kitu ya kulia mkate hell no!! kauzu wapikwe liwe roast dikodiko ukijichanganya ukajua ni mchuzi wa nyama ya kusaga kumbe ni kauzu hao dagaa nyama kam unatumia naz nao wana upikwaji wake na ni nazi og ukae chin ukune sasa kuna huyu na wale wa kuanza kukaanga kitunguu maji na mafuta mwisho wanamiminamo tui bubu mtu anakwambia amepika mchuz wa nazi hatari, ila unajua nn dagaa waliowekwa kitu ya kulia mkate kwangu ni brand new!! tena nisingeweza hata kula.
Peanut haitumiwi kwenye mkate tu hizi karanga za kusaga ziko na matumizi mengi
 
😂😂😂 me wa hapo daslam tu, sipen michuzi ya maji maji yan mchuzi mwaaa nyama chini hapana na niko hivo nikiingia jikoni kama naenda sehem ina familia always mchuzi hautoshi kwenye tembea tembea nikakuta mtu anapika makande ya karanga nilistaajabu sjawah kuona
Dagaa za michuzi nimezikataa kabisa , kuna wale dagaa wa supermarket wapo kwenye vikontena unawapiga hivyo hivyo na ugali wako na kachumbari yenye pilipili nyingi kwisha.
 
Back
Top Bottom