Umewahi kujaribu kupika dagaa kwa mtindo huu?

Dagaa za michuzi nimezikataa kabisa , kuna wale dagaa wa supermarket wapo kwenye vikontena unawapiga hivyo hivyo na ugali wako na kachumbari yenye pilipili nyingi kwisha.
pole, mimi nakula wote shida ni moja baada ya kula napata mafua makali sana lakini huo uroho tu
 
Unajua sana bimama hapo na dona saaf kabisa
Halaf unakuta watu tunaokula hiv na ugal tunaitwa masikin hapa Jf , aisee!!..

Na msos huo ukikatisha soko la mbagala pale hata elfu 5 haiishi kununua mahitaji ya hiyo menu na mnaishia kula familia nzima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…